Ni nchi yetu tu hatujui maana ya traffic lights, tulizichukua tu huko ughaibuni na kuja kuzipachika tuonekane tunazo. Serikali wanasema traffic wanasimamia Sheria barabarani lkn tuna mbinu nyingi za kusimamia Sheria ikiwemo kufunga kamera zitakazo dhibiti mienendo ya madereva na si wao kukaa...
Habari wana Jf,
Nilikuwa nahitaji kufanya biashara ya nyanya ninunue kwa wakulima mashambani alafu nije kuuza kwenye masoko Dar.
Nilikuwa naomba.
1. Ushauri au muongozo kwa mwenye uzoefu na biashara hii inakuwaje na inafanywajwe.
2. Connection za wakulima wa zao hili.
3. Connection za masoko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.