Recent content by Johnson_Siame

  1. J

    nauza kiwanja, kibaha

    yeah na document zina mihuli ya serikali za mtaa wa pale ambapo shamba lipo.
  2. J

    nauza kiwanja, kibaha

    yeah kweli!
  3. J

    nauza kiwanja, kibaha

    kiwacha cha heka moja, kipo kibaha kwa mathias upande wa kulia kama unatoka morogoro, barabara inafika kwa sababu ndo njia ambayo magari ya mchanga yanapita, bei ni shilingi million 4.5, siitaji dalali, kama upo tayari nipigie 0652-110878
  4. J

    Nauza shamba - Kibaha kwa Mathias

    hakipo eneo la chuo, chuo kipo mbali, ukiwa tayari unaniambia unaenda kupaona kisha nakuonesha mazingira pamoja na kumuuliza mwenyeji wangu ambae ni mwenyekiti wa hapo uhalali wake!
  5. J

    Nauza shamba - Kibaha kwa Mathias

    King Kong, nina shida ndo maana nimefanya hivyo
  6. J

    Nauza shamba - Kibaha kwa Mathias

    halina mazao, ni sehem tu ya wazi na linafikika kiurahisi kwa sababu barabara imechongwa, na ukiwa unaenda morogoro ni upande kulia
  7. J

    Nauza shamba - Kibaha kwa Mathias

    nauza shamba heka moja lipo kibaha kwa mathias karibu na makao makuu ya chuo kikuu uria, bei ni million 4.5, kama upo tayari na unaitaji kweli namba hii nipigie 0652-110878
  8. J

    Nauza shamba kibaha kwa mathias

    Sio kuwa sababu ni karibu na chuo ndo hapa na hapo no, chuo kipo mbali kidogo, siwezi nikauza kitu uje upate matatizo, na kabla ya kununua si lazma ufike upaone
  9. J

    Nauza shamba kibaha kwa mathias

    Hapana simjui
  10. J

    Nauza shamba kibaha kwa mathias

    shamba ekari moja kwa bei ya million 5 maelewano yapo, lipo kibaha kwa mathias karibu na makao makuu ya chuo kikuu huria au open university, panaitwa viziwaziwa, ni umbali wa kama kilometre 4 toka barabara ya morogoro, kama upo tayari na unaitaji nicheki kwa namba hii...0652-110878
  11. J

    Rosella wine unaijua?

    kama wewe ni mjasiliamali ama unataka kuwa mjasiliamali na unaitaji kujifunza juu ya kutengeneza Rosella wine, basi wasiliana na mimi nikufundishe kwa bei rahisi tu, mawasiliano ni 0652-110878
  12. J

    Shamba shamba kwa bei chee...

    Nauza shamba ekari moja kwa bei ya shilingi Million sita(6) tu, lipo kibaha kwa mathias karibu na makao makuu ya chuo cha Open university(Chuo kikuu huria)....kwa mawasiliano ni 0652-110878
  13. J

    Nauza body la gari aina ya Mistubishi Chariot

    nauza body ya mistubishi Chariot, bado ipo bomba, inasumbua engene sasa me nimekosa pesa ya kubadilisha engene ili niweke ya Rav 4, kama unaitaji ni shilingi milion 2.5, mawasiliano ni 0652-110878
  14. J

    SHow ya Diamond si mchezo totoz ziling'aaje??

    mmmmnh uyo mwenye gauni lenye rangi yeupe mbona mshamba sana!
  15. J

    Body ya Mistubishi Chariot bei rahisi

    Nauza body la Mistubishi Chariot bado lipo kwenye hali nzuri ni unaenda kutoa engene ya Chariot na unaweka ya Rav 4 bei ni million 3 tu, gari ni ya mwaka 1997, siitaji dalali....mawasiliano 0652110878
Back
Top Bottom