Nauza shamba - Kibaha kwa Mathias

Johnson_Siame

Member
Apr 5, 2012
29
1
nauza shamba heka moja lipo kibaha kwa mathias karibu na makao makuu ya chuo kikuu uria, bei ni million 4.5, kama upo tayari na unaitaji kweli namba hii nipigie 0652-110878
 
weka maelezo ya kutosheleza kabla hujapigiwa. kibaha kwa mathias upande gani wa barabara kuu ya morogoro? Ni umbali kiasi gani toka kwenye barabara kuu? hilo shamba linafikika kwa gari? Limeendelezwa au ni poli tu? Lina mazao yoyote? kama ndiyo ni mazao gani? weka angalau taarifa za vitu kama hivyo.
 
Mkuu mbona unauza kwa bei rahisi hvyo? Ebu reserve kwa mwezi huu nikupe mil6 net,ntaku PM.
 
halina mazao, ni sehem tu ya wazi na linafikika kiurahisi kwa sababu barabara imechongwa, na ukiwa unaenda morogoro ni upande kulia
 
Au kiko ndani ya eneo la chuo, ili wewe utoke na M4 zako, halafu mimi ile Kwangu wale jamaa wa chuo watakapo amua kuja kuendeleza eneo lao (wanikute mie ni mvamizi wakati wewe umeondoka), weka uhalali wa eneo kabla sijaanza kuomba unipinguzie bei
 
hakipo eneo la chuo, chuo kipo mbali, ukiwa tayari unaniambia unaenda kupaona kisha nakuonesha mazingira pamoja na kumuuliza mwenyeji wangu ambae ni mwenyekiti wa hapo uhalali wake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom