Recent content by Johnson Yesaya

  1. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania Nakusaidia kuandaa ripoti yoyote ya kiofisi kwa muda mfupi sana

    Kama unapata shida kuandaa RIPOTI mbalimbali au nyaraka za kiofisi nipo hapa kukusaidia. Kuandaa RIPOTI ya kiofisi ya kurasa 500 sio jambo rahisi kwa kila mtu. Lakini ni Jambo rahisi sana kwangu. Nina speed kubwa sana ya kutype mpaka kurasa 50 kwa siku moja. Na kwa lugha yoyote. Basi kama...
  2. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jeshi La Polisi, "Mwiba Kwa Wananchi wa Tanzania" liundwe upya

    1.0 Utangulizi. Jeshi la polisi la Tanzania, ni kati ya majeshi mengi Afrika ambayo yanalaumiwa sana na wananchi kwa ukiukaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu ikiwemo kuua raia katika mazingira ya kutatanisha, kupora mali na fedha za wananchi wanapokuwa mikononi mwa polisi, kuwatolea...
  3. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  4. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Toangoma kigamboni

    CH=full]2410278[/ATTACH]
  5. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania Meet a guy who knows all locations in Dar - es - Salaam

    Utani sio? [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania Meet a guy who knows all locations in Dar - es - Salaam

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania Meet a guy who knows all locations in Dar - es - Salaam

    Kabisa [emoji120][emoji120]
  8. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania Meet a guy who knows all locations in Dar - es - Salaam

    Indeed bro.
  9. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania Meet a guy who knows all locations in Dar - es - Salaam

    Umemfundisha kijana, shukran [emoji120]
  10. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania Meet a guy who knows all locations in Dar - es - Salaam

    MTU mbadi [emoji23][emoji23]
  11. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania Meet a guy who knows all locations in Dar - es - Salaam

    Thanks bro [emoji109]
  12. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania Meet a guy who knows all locations in Dar - es - Salaam

    [emoji23][emoji23][emoji23] Kabisa mwambie huyo.
Back
Top Bottom