Si kwamba kuna mtu anaipenda CCM, ila ni kwamba watu hawajapata mbadala wa CCM,....Siku Tanzania tutakapokua na upinzani IMARA hakuna atakayechagua CCM...
Ila kwa sasa TLP, NCCR, CUF na CHADEMA, n.k wameshindwa kukata kiu ya watanzania wanaopenda mabadiliko ya kweli!