Recent content by JOHNLIGHT MINISTRY

  1. JOHNLIGHT MINISTRY

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

    Kaa nae umhoji kwa kina na uendelee kufuatilia taratibu uone coz km ana mtu ukiwa mtafiti mzuri utajua tu..Na ikabainika yuko na mwanaume basi utajua mwenyewe uendelee au ufanyeje!
  2. JOHNLIGHT MINISTRY

    JamiiForums Tanzania Naona nguvu kubwa ambayo wenzangu wa CCM wanayoitumia kumnanga Lazaro Nyalandu

    Sioni kosa la Nyalandu kuondoka ccm ikiwa katiba na sheria za nchi zinamruhusu kufanya hivyo..!! Itakua kosa km Sheria haimruhusu kufanya hivyo.. Kuhusu kuhamia chadema pia niuchaguz wake mwenyewe km alivyokua amechagua kuingia ccm..!! Kuhusu hoja zake za kutoka ccm pia ni mtazamo wake na Imani...
Back
Top Bottom