Recent content by JOHN WA MARWA

  1. J

    ACT inapopenya Kati Kati ya vitanda vyenye kunguni

    UWEZO WA KITANDA KIPYA TUNAO Habari zenu ndugu wasomaji na watanzania wote kwa ujumla, naamini mnaendelea vyema na joto la kisiasa linazidi kukua miongoni mwa watanzania. Naamini kwa muitikio wa mwaka huu, ni kweli kabisa watanzania tunayahitaji mabadiliko na tupo tayari kuhakikisha...
  2. J

    Act wazalendo na umoja

    Umoja ndio nguzo muhimu katika upatikanaji maendeleo asante sana ACT
  3. J

    Zitto Kabwe: Chickens coming home to roost

    vijana wameamua kushabikia siasa kama mpira kazi wanayo
  4. J

    Zitto Kabwe: Chickens coming home to roost

    kukop sio tatizo issue ni kilichokopiwa kinaleta maana
  5. J

    Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

    Miaka yao ote ya uongozi waliwasaidia vipi watanzania mapaka wawasaidie leo? acheni kuwahadaa watanzania
  6. J

    Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

    Rostam leo ni mzuri kuliko Slaa, sioni dhamira ya dhati toka Ukawa katika kuleta mabadiliko wanayoyaubiri
  7. J

    Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

    Rostam leo ni mzuri kuliko Slaa, sioni dhamira ya dhati toka Ukawa katika kuleta mabadiliko wanayoyaubiri
  8. J

    Dr. Slaa, Dr. Kabourou, Zitto Kabwe, ni waasisi wa mageuzi akina Lissu, Mnyika kuleni jasho lao

    Lissu na Mnyika wasubirie tuu maana wanakaribia kuwa wanafiki. hizi sio siasa bali ni biashara ndani ya siasa
  9. J

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Moja kati ya sifa kuu za CHADEMA ni kuwapa cheo cha Unafiki wale wanaopishana nao kimawazo hivyo naamini Slaa na mnafiki kuanzia Jana. Waraka huu ni njia tuu ya kumshukuru na kumpa hongera zake mnafiki mwenzangu Slaa aliyeamua kujivika mabomu na kujilipua kwa maslahi ya wengi. Alichofanya...
  10. J

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Magufuli kilaza Lowassa kilaza Anna jembe habari mnayo
  11. J

    Zitto na ACT ndio wapinzani wa kweli waliobakia, tunawategemea msituangushe, UKAWA wamenunuliwa

    Washambuliaji wanapogeuka walinzi habari mnayo Chadema
  12. J

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mtatumia nguvu nyingi kuzuia mashambulizi ACT tutatumia nguvu nyingi kueleza Sera zetu na mipango thabiti ili tukichukua nchi wananchi wawe wanajua kipi kinaenda kufanywa
  13. J

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Slaa kafanya CHADEMA watamani siku zirudi nyuma
  14. J

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Slaa hakuwahi kuwa ndani ya serikali kama Lowassa na Sumaye
  15. J

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Leo Slaa kawalaza malofa ma wapumbafu mapema. Walizoea kushambulia leo wanashambuliwa
Back
Top Bottom