Amesafili nani? Akisafili mke mi kawaida yangu nikiondoka asubuhi kuludi ni usiku, na ikitokea nimeludi mchana basi naingia mwenyewe jikoni kiujumla hua sina mazoea sana na beki 3 ni msimamo wako tu. Kwa sababu hakuna mbaya hapo duniani anavyofika si anakua rafu unamuona mbaya ngoja miezi kazaa...
Huyo itakula kwake mda si mrefu, beki 3 ana mipaka yake chumbani kwangu mwiko kuingia kufua nguo za baba au kumuandalia chakula mwiko, ndo utaratibu tulip jiwekea na mwenzangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.