Inasikitisha kuona watu wasio na hatia wanauwawa,polisi wanatumia nguvu kubwa kutawanya watu ambao kimsingi walikuwa hawafanyi fujo,hii inatia shaka pale wananchi watakapoamua kupambana na polisi naamini wataua lkn kamwe hawawezi kuishinda nguvu ya umma! Lazima sauti ya haki itaishinda sauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.