Recent content by john liver

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya wazi yaliyovamiwa na majengo yanayostahili kuvunjwa

    Wasisahau mtaa wa bwawani kata ya mwananyamala. Mtu kajenga ghorofa juu ya mfereji wa maji ya mvua. Manispaa ya kinondoni mtusaidie.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa ya maeneo ya wazi yaendelea leo mtaa wa Basihaya Bunju jijini Dar

    Mtaa wa bwawani kata ya mwananyamala kuna mtu kajenga ghorofa juu ya mfereji na kusababisha adha ya mafuriko wakati wa mvua. Uongozi wa mtaa umefuatilia lakini wanapigwa za uso. Tunaiomba manispaa ilifuatilie hilo eneo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Washawasha polisi wavua nguo

    Hiyo dhoruba imewatokea maeneo ya ofisi ya wilaya ya Cuf wilaya ya kinondoni. Na ndo kwa kiasi kikubwa wamewasaidia kuwastiri. Malipo ni hapa hapa duniani
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ni mbunge yupi atamrithi Kafulila kwa kufichua ufisadi Serikalini?

    Maulid Said Mtulia kutoka Kinondoni
  5. J

    JamiiForums Tanzania Fredrick Sumaye "nyota wa mchezo"

    Ndiyo maana bwana mkubwa alipanic siku ya mkutano wao baada ya kupata taarifa sumaye kaondoka. Alijua mambo yanaenda kuwekwa hadharani
Back
Top Bottom