Mafuta ya kuendeshea injini na mitambo yaani diesel na petrol yamekuwa ni bidhaa adimu na ghali. Mafuta ndio yanayowezesha nguvu ya kuendeshea uchumi ifanye kazi.
Kwahiyo uhaba na uncertainty ya bei yake ni muhari kwa uchumi. Sipuuzi hali ya soko la mafuta kimataifa kwa Sasa, lakini angalau...
Nadhani kama ningepewa task ngumu zaidi ni kutafuta mwanasiasa mmoja asiye mzandiki. Nalazimika kuhukumu kwamba pengine siasa ni uzandiki na uzandiki ndio siasa yenyewe.
Mjadala wenye afya kwa taifa unakuwa mzuri, Hadi pale wanasiasa wanapouteka nyara. Hoja ya katiba mpya na bandari ni...
Huku mitaani idadi ya vijana wasio na ajira ni kubwa na inazidi kuongezeka Kila uchao. Tatizo ni kubwa na linazidi kuongezeka kwa Kasi,ajira ndio msingi wa kipato na kipato ndio msingi wa maisha.
Yapo mawazo yanayowataka vijana wajiajiri,kinadharia ni dhana nyepesi kuizungumza lakini ngumu...
Nakumbuka namna ambavyo kampeni ya upandaji miti ilivyokuwa na mwitikio mkubwa miaka ya nyuma kidogo hasa mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Kampeni Ile ni Kama ilizimika au imepungua Sana Ile nguvu yake, msingi wa hoja ya kuishadidia kampeni hii ni uhalisia wa hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.