Habari JF,
Nimeamua kujitokeza hadharani kuongeza kasi ya utafutaji. Nahitaji kuoa na kuanza kulea familia.
Mtakaonikejeli mbarikiwe, hatukuumbwa sawa wote, pia tunatofautiana malezi na fursa.
Umri wangu ni miaka 33, mrefu wa wastani, maji ya kunde. Kitaaluma ni Mhandisi wa Tehama...