Recent content by john hotsam da1

  1. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari wakuu Naomba kuuliza, hatua za kusajili organization ni sawa na kusajili kampuni? Msaada tafadhali.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A bei poa

    Bei ni 32m tzs, mazungumzo yapo. Karibuni.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A bei poa

    Karibu nikuuzie kiwanja.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A bei poa

    Bado sijaelewa ni offer gani unaiongelea, labda ungenielezea kidogo.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A bei poa

    Sawa.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A bei poa

    Upimaji wa eneo na utoaji wa hati ni mazoezi mawili tofauti mkuu, kuna maeneo yamepimwa hayana hati kuna maeneo hayajapimwa na yana hati.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A bei poa

    O Offer kivipi!?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A bei poa

    Ni kweli mkuu, ila ndo hivyo maeneo tofauti!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A bei poa

    Hati tutafanikisha kwa pamoja mkuu Chukua namba yangu tuwasiliane kwa ukaribu 0742 529916
  10. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A bei poa

    Hati hakina mkuu, ila tutauziana serikali ya mtaa kwa uthibitisho.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A bei poa

    Habari wakuu, Kiwanja kinauzwa maeneo ya Bunju A Magurumawe, kimepimwa, eneo liko sehemu nzuri (kuna majirani) na sio bondeni, maji na umeme viko karibu, barabara inapitika vizuri! Ukubwa wake ni mita za mraba 1,291. (1,291 square metres) Bei ni tsh milioni 32 (32m tzs) Mawasiliano 0742...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Shindano la fifa 17 ps3 na ps4

    Karibu sana
  13. J

    JamiiForums Tanzania Shindano la fifa 17 ps3 na ps4

    Karibu mkuu
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shindano FIFA 17 PS3 na PS4

    Nitarudi mkuu
  15. J

    JamiiForums Tanzania SHINDANO FIFA 17 PS3 NA PS4

    Habari wakuu Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB, Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa nne asubuhi Kiingilio kwa ps 3 ni 4,000 na mshindi atapewa 30,0000 Kiingilio kwa ps 4 ni 7,000 na...
Back
Top Bottom