Recent content by John Creasy

  1. J

    Kumekuchaaa, watacheza, boss kakimbilia USA, apewa onyo!

    We ni pumba boy. Thread zako zote ni pumba tu.
  2. J

    Simba kusanyeni ushahidi huu kuupinga ubingwa wa Barkane CAF na CAS:

    England inabidi wakate rufaa Argentina wanyang'anywe ubingwa wa dunia 1986 kwa sababu ya goli la mkono la Maradona(RIP)! Pathetic!
  3. J

    Bunge letu lina Maprofesa sasa Wakenya wanasemaje ni Bunge la KK? Waache dharau CV za maseneta wao tunazo!

    "Tanzania ni nchi pekee dunianiyenye maprofesa na madokta wengi lakini output yao ni zero" - Jenerali ulimwengu. Hao maprofesa ndiyo walitoa ripoti ya makinikia. Unaikumbuka it was total gabbage. We all know it. Hao maprofesa wako unaowasema ni product ya UPE. Unajua UPE ni nini na madhara...
  4. J

    PreGE2025 Amos Makalla asema siri ya CCM kushinda uchaguzi kila mwaka ni kwakuwa wanakwenda na wakati, hawatulii kama jiwe

    Ms Mayalla! Mayalla,! Rafiki yangu Mayalla. Do yuo really believe in this bullshit? CCM "inashinda" uchaguzi siyo kupitia sanduku la kura bali kupitia "tume ya uchaguzi", TISS na polisi. Ondoa hizi taasisi tatu CCM muflisi. We all know that. Kwa nini rafiki yangu unakuwa hivi. Unatafuta...
  5. J

    PreGE2025 Kuna uwezekano Askofu Gwajima anamchafua Rais Samia kuelekea Uchaguzi na akitumika na wale watu waliotaka asiwe Rais

    Jibu hoja za Gwajima. Why attack the messenger. Machawa wengi hawana chochote kichwani. Nimesoma thread zako nyingi zote ni zero content. Kwa nini ujidhalilishe bro. Vipande 30 vya fedha?
  6. J

    Maria Sarungi kapotosha, hakuna chombo cha habari kimefungiwa kwa kumkosoa Rais

    $400,000 ni sawa na Tshs 400bn? Really! How much are you paid by CCM to write this shit ?
  7. J

    Football ya wanawake sio lazima wacheze ma tom boys

    Naona una tatizo la kuelewa lugha. English kwako imekupita kando ndiyo maana ukaanziisha mada isiyokuwa na kichwa wala miguu. Nilikuwa natataka kukuelewesha kwamba tom boys kwa maana halisi siyo shoga wala msagaji kama ulijyotaka kuwaelimisha/ kuwaaminisha watu. Uelewa wako mdogo wa lugha...
  8. J

    Football ya wanawake sio lazima wacheze ma tom boys

    Wabongo, especially vijana wanajifanya wanajua kila kitu lakini kichwani hamna kitu. They have the resources to do some research but are so lazy they want everything in a silver platter. No wonder this country has gone to the dogs.
  9. J

    Football ya wanawake sio lazima wacheze ma tom boys

    Ignorance is bliss.
  10. J

    Serikali ya Zanzibar kemeani kauli za Ahmed Ally na Mzee Dalali zisizo za kimichezo, zinawachafua

    Uchukue kombe kwa mpira gani? Ununue kwa pesa ipi? Uwezo wenu ni kununua marefa wa bongo kwa senti mbili. Unashindwa kuifunga timu kama Dodoma Jiji au Namungo mpaka ubebwebwe na referree ndiyo umfunge RS Berkhane! In your dreams.
  11. J

    Football ya wanawake sio lazima wacheze ma tom boys

    Unajua current meaning ya tom boy?. Check merrian webster dictionary online. Tom boy Is not the same as transgender/lbqt if that us what you meant Labda tafuta term nyingine kuelezea mawazo yako. Please don't point fongers to people you don't undestand. Wengi wetu tumevamia dini za watu...
Back
Top Bottom