Recent content by John Allex

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiswahili ni kama theluji kileleni mwa Dunia ya lugha,tujifunze misamiati katika kukikuza.

    Kiswahili lugha yangu,Tanzania nchi yangu nayoipenda.Ninajivuni kujifunza misamiati mipya .KARIBUNI WANAJF TUJIVUNIE LUGHA YETU.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kutatanisha kuhusu vigezo Diploma ya ualimu

    Sawa sawa na ndivyo ilivyo mimi nijuavyo sasa uvumi huo wakupotosha sijui unatoka wapi...?!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kutatanisha kuhusu vigezo Diploma ya ualimu

    Tukiachana na ujuavyo kuna taarifa zozote ulizopata zinazolingana na maelezo yangu hapo awali..?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kutatanisha kuhusu vigezo Diploma ya ualimu

    Ndugu wana JF habari za mda huu,moja kwa moja nitoe ufafanuzi juu ya kichwa cha mada husika,kwamba kuna taarifa zinazoenea kwa kasi mtaani kuwa kigezo cha kujiunga na diploma kinachohitaji mdahiliwa wa kozi ya ualimu wa shule ya msingi kuwa na cheti cha kozi yoyote kutoka chuo chochote...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wanaohitaji kusoma vyuo vya afya na alama katika somo 1au ma2 kikwazo tusaidiane ...

    WanaJf .,wadau kada za afya tusaidiane wakuu nn cha kufanya.,mm ni muhanga wa hili tatizo nmefeli chemistry hayo yote nmefaulu .,na mpk ss cjui cha kufanya nlitamani nisome clinical au pharmaceutical science certificate .,lakini nmekwamaa....
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hongera waliochaguliwa kozi ya Community Health, NACTE

    Aliyechaguliwa paradigm institute of health science acheki na mm kpitia 0764160293
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau wana Jf

    Mimi nimehitimu kidato cha nne 2011 nna ufaulu wa masomo ya sayansi kasoro chemistry nmefeli .,je naweza kupata chuo cha serikali cha pharmacy nkasomee ngazi ya cheti....tafadhali mwenye uelewa na hili anijuze ..
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Ufamasia

    Habari zenu wakuu,samahani mm nlikuwa natamani nisome pharmacy certificate.,alaf katika ufaulu wang masomo ya sayansi nimefeli chemistry tu.,je, naweza kupata chuooo?
Back
Top Bottom