Nimeshangazwa na hoja ya dk thomas kashilila iliyotamka rasmi kwamba matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni yasitishwe au yaundiwe channel mpya na tcra.
NIMEGUNDUA KUWA BUNGE LINATAKA WANANCHI WASIJUE KINACHOENDELEA KAMA ENZI ZA MWALIMU .WATANZANIA WENGI TUMESHAJUA UJANJAUJANJA HUU...
Kwa maana hiyo hadi mimba zilizo kwenye matumbo ya watu zinadaiwa .kilichopo ni gunia la ziara za viongozi ulaya,asia,amerika na australia tutashindwaje kudaiwa ndiyo watu wanasema maisha bora kwa kila mtanzania hapo bado
Hilo halihitaji mtu awe msomi hadi chuo kikuu .kila mtu afuatilie atagundua kuwa rais,makamu wa rais,mkuu wa usalama wa taifa,jaji mkuu,waziri wa afya,waziri wa muungano,rais wa zanzibar,makamu wote,mawaziri n.k .hilo linaonesha waislamu kupendelewa mno ila basi tu
Huyo ni kwa sababu ya kufukuzwa uanachama ameona aingie ccm kupata pesa ya kulipa fidia ya milioni 15 na siyo kusingizia kutakwa kimapenzi na lema huo ni uchizi na akumbuke kuwa nyasi moja kudondoka kutoka kwenye nyumba haifanyi nyumba kuvuja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.