Deni la Taifa: Kutoka trilioni 10.5 hadi trilioni 14.4 kwa mwaka?

It's alarming....!

Sasa hapa Domestic Debt ni kiasi gani na external ni kiasi gani.ni lazima pia tufanye analysis ya kiasi kilichokopwa kutoka commercial banks au international Agencies na terms zake

Jibu ni

Hilo ni deni la nje, bado la ndani.

Monthly economic review ya BOT mwezi Novemba mwaka huu inaonyesha deni la nje la taifa mpaka Oktoba mwaka huu lilikuwa dola za Kimarekani bilioni 10.5 ambapo ni sawa na karibia Sh. trilioni 15.7.

Hili ni ongezeko la dola milioni 27.1 na dola milioni 456.1 zaidi ya amount iliyorekodiwa mwishoni mwa mwezi Septemba and corresponding period in 2011 respectively.

Out of the external debt stock 85.7 per cent was disbursed outstanding debt and 14.3 per cent was interest arrears. During October this year, new loans worth 40.3 million dollars were contracted and recorded through which external debt disbursements amounted to 39.1 million dollars and of which 38.3 million dollars was received by the government.

External debt service during the month amounted to 19.7 million dollars, out of which 11.2 million dollars was principal repayments and 8.4 million dollars interest payment.
 
Niliwahi kuwashauri waheshimiwa wabunge bungeni wapeleke muswada wa kuweka ceiling ya kukopa kwa Serikali . Niliyaona haya since 2010 sasa hivi ndio mnastuka? Na bado, bila debt ceiling hii Serikali itakikopea tu bila ya mpangilio....
 
tuwe na mikakati imara yenye faida kwa taifa.
Siyo tu kujenga mradi fulani katika jimbo fulani sababu mtu fulani ni mbunge wa pale na aliwaahidi wananchi vile.
Madeni siyo ishu...
 
Hata huyu?

[video=youtube_share;T3wgDb2PRAI]http://youtu.be/T3wgDb2PRAI[/video]

Mkuu EMT,
I'm sorry, nafikiri sentensi yangu sikuiweka vizuri pale niliposema 'hata mmoja'. Maana yangu ilikuwa ni kusisitiza kuwa kulingana hali halisi ilivyo, hatujapata wabunge wegi hasa wanaoliona tatizo hili la deni kama ni bomu linalosubiri kulipuka na kwa maana hiyo, wanahitaji kuishinikiza serikali kwa sasa ilitafutie suruhisho kwa manufaa ya kizazi kijacho.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Muhimu sio deni kufikia 20, 30, 40 trillion, but je, is the debt sustainable? Kwa mfano je tuna uwezo to meet our debt repayment obligations continuously without compromising our budget expenditure priorities? Jibu ni hapana, na ushahidi upo kwenye ukweli juu ya jinsi gani serikali is running way behind wakati mahitaji ya msingi ya wananchi yapo way ahead; pia kwa kuangalia debt reschedulling za mara kwa mara baina ya Serikali na Multilateral creditors ambao ndio wanamiliki almost 90% of our debt - World Bank, IMF, African Development Bank(ambayo Africa ni jina tu otherwise inamilikiwa na World Bank and donor countries), European Investment Bank, and OPEC Fund; About 10% is owned to bilateral creditors (nchini moja moja tajiri);

Njia ya nyingine ya kupima sustainability ni kwa kuzingatia kwamba debt sustainability has a mathematical relationship with cost of borrowing and the performance of the economy, hasa on certain exports; Katika hili, kwanza the cost of government's borrowing is very high, kwa mfano kwa kuangalia what it pays for long term treasury securities ambazo ndio kivutio kikubwa kwa mabenki nchini kuliko hata mikopo kwa private sector; Je, does the government invest wisely fedha hizi? Jibu ni hapana, kama jibu ni ndio, then, it does it wisely from the donor's point of view, not mlipa kodi; Pia performance of our exports by face value is outstanding but by intrinsic value, export performance has failed to resolve our chronic balance of payment deficit, at most, it either sustain its current levels ambayo ni mbaya if not deteriorate it further; njia rahisi ya kubaini source ya hili ni kutazama what we earn from ya kilimo, lakini muhimu zaidi exports za natural resources vis a vis the value of our imports, na pia jinsi gani debt servicing inakula our exports, n.k;

Tatizo kubwa lililopo ni kwamba watanzania hawajui kwa undani maana ya deni la taifa, kiini chake, creditors wao ni nani na wanafanya vipi kazi na serikali ya Tanzania katika suala husika, na kwa maslahi ya nani; Wananchi pia hawajui kwamba AID sio misaada ya bure, bali hii ni mikopo yenye masharti nafuu, unafuu kwa nani? thats a different question; otherwise unafuu uliopo is only by face value kwani intrinsically, it is a major disaster tunayokabiliwa nayo hivi sasa; Vinginevyo tyrants and mafisadi love AID, it is much easier to loot; Aid helps tyrants and mafisadi to stay in power; Is there any presidential candidate wa CCM, Chadema, CUF, NCCR etc, who would love to go to Ikulu katika mazingira ambayo hakuna tena AID? Hello No!!!, Zero Aid kutokana na misaada kusitishwa kwa sababu mbalimbali au Zero Aid kutokana na taifa kuweza kujitegemea, yote ni masuala ambayo most presidential aspirants hawata yataka, vinginevyo wao au vyama vyao vitadokoa wapi?
 
It's alarming....!

Kama hatutaweka pressure kuzuia ukopaji holela huku wakijua kwamba 2015 kutakua na serikali nyingine itakuja kutuumiza sote.We must borrow prudently.

Sasa hapa Domestic Debt ni kiasi gani na external ni kiasi gani.ni lazima pia tufanye analysis ya kiasi kilichokopwa kutoka commercial banks au international Agencies na terms zake

Hata Nigeria kipindi cha Obasanjo(ingawa namuheshimu sana) walikopa kwa ajili ya investment katika Energy sector lakini fedha nyingi ziliishia mifukoni mwa wanasiasa

The question we should be asking is what meaningful project did they use the debt incurred on?We know so far that In NIgeria forinstance, the 16billion Naira that was main for power generation project went into the pockets of obasanjo and his criminal cohorts.Tanzania should learn

And who is liable for all this debt - TANZANIANS?

Lets look forward to high taxation when the time to repay comes.

We all know there will be nothing tangible for these huge debts we incur - Apart from politicians bank accounts!

The Government (which frequently changes/yes suppose to) is racking up these debts at the expense of the average Tanzanian.

Sasa tunaongeza kasi ya kuipeleka nchi mnadani.Tanzanians are secretly being sold out to the West or recently to the Far East

mjomba andika kiswahili wengne shule za kata
 
Mkuu EMT,
I'm sorry, nafikiri sentensi yangu sikuiweka vizuri pale niliposema 'hata mmoja'. Maana yangu ilikuwa ni kusisitiza kuwa kulingana hali halisi ilivyo, hatujapata wabunge wegi hasa wanaoliona tatizo hili la deni kama ni bomu linalosubiri kulipuka na kwa maana hiyo, wanahitaji kuishinikiza serikali kwa sasa ilitafutie suruhisho kwa manufaa ya kizazi kijacho.

Ni wabunge wangapi wenye uelewa huo wakati moja ya masharti makuu ya mtu kuwa mbunge ni kuwa mhitimu angalau wa darasa la saba? Je, elimu ya msingi inatoa mafunzo gani ambayo yanaweza kusaidia wabunge angalau wawe na uelewa wa msingi juu ya masuala ya public finance? Na hata wenye elimu za juu zaidi, wengi wao hawana uelewa juu ya suala hili, wakiambiwa na mawaziri wa CCM kwamba deni la taifa as percentage of GDP kwetu sisi ni ndogo sana au budget deficit ni ndogo sana na kama wanabisha walinganishe figures zetu na za mataifa yaliyoendelea na yanayotupatia misaada, upeo wao ndio unagotea hapo; hawaelewi kwamba nchini kuwa na debt to GDP ratio ya 80% might be in good health kuliko ile yenye ratio ya 10%, depending on many other factors that are in play; nikipata muda nitakuja kufafanua hili kwani hiki kimekuwa ni kisingizio cha ovyo ovyo kwa muda mrefu tu kutoka kwa mawaziri na wabunge wa CCM pale wanapojaribu kutetea the high levels of GDP to debt ratios na pia huge budget deficits, hasa pale wanapowapumbaza watanzania kwa kufananisha viwango vyetu vidogo vis a vis viwango vikubwa vya mataifa tajiri;
 
Ben na Mchambuzi, good points.... ila tuwe wawazi, Tatizo ni serikali janja janja yenye kuongozwa kijanja janja na washauri wajanja janja

Ukiangalia priorities za serikali, hazifanani na sera zake na ziko myopic kwa kiasi kikubwa, we are busy addressing short term solutions kwa mtindo wa LIWALO NA LIWE au NI UPEPOZ TU HUO, etc.
 
CCM is defying Economics and Glorifying Politics; Little does it know that it is ignoring Gravity;
 
CCM is defying Economics and Glorifying Politics; Little does it know that it is ignoring Gravity;
You can say that again buddy!!

Few questions... can this also define the;
  1. type of "local" experts we are having??
  2. superficial "analysts" we are having?
  3. great "politico-economic mickeys" we are having?
  4. "De-responsibilizing" development partners who let us go down the ditch??

Or just clueless leadership??
 
It hurts to realize how little the government is telling the public about national economic issues; majority of Tanzanians are being starved of basic economic information; they are totally confused about what is happening in their daily livelihoods; Majority have been facing a constant economic crisis for over 50 years [on the household level], and besides ‘ufisadi', they know little about the root – cause of the crisis or what is in store for them; To most of them, for a very long period, Facts, Information, Honest Opinions from leaders…all these have come as scarce commodities, and to make matters worse, most leaders cite wrong reasons for their current predicament; Sasa, How can we face the future if we can't even face the facts?

On the donor community front - I largely blame this on our leaders because throughout, they have been content enough to let others worry about our problems; For instance, much of our national debt burden is a result of negligence and selfishness on part of our leaders, as they tend to let donors worry about our international policies, e.g. trade policies; We have been losing ground in the world market due to such negligence; For instance, history has it that - the collapse of trade talks at Cancun in 2003, delegates from Africa were largely responsible, and actually they were the only ones who cheered, including our delegates;
 
Ni wabunge wangapi wenye uelewa huo wakati moja ya masharti makuu ya mtu kuwa mbunge ni kuwa mhitimu angalau wa darasa la saba? Je, elimu ya msingi inatoa mafunzo gani ambayo yanaweza kusaidia wabunge angalau wawe na uelewa wa msingi juu ya masuala ya public finance? Na hata wenye elimu za juu zaidi, wengi wao hawana uelewa juu ya suala hili, wakiambiwa na mawaziri wa CCM kwamba deni la taifa as percentage of GDP kwetu sisi ni ndogo sana au budget deficit ni ndogo sana na kama wanabisha walinganishe figures zetu na za mataifa yaliyoendelea na yanayotupatia misaada, upeo wao ndio unagotea hapo; hawaelewi kwamba nchini kuwa na debt to GDP ratio ya 80% might be in good health kuliko ile yenye ratio ya 10%, depending on many other factors that are in play; nikipata muda nitakuja kufafanua hili kwani hiki kimekuwa ni kisingizio cha ovyo ovyo kwa muda mrefu tu kutoka kwa mawaziri na wabunge wa CCM pale wanapojaribu kutetea the high levels of GDP to debt ratios na pia huge budget deficits, hasa pale wanapowapumbaza watanzania kwa kufananisha viwango vyetu vidogo vis a vis viwango vikubwa vya mataifa tajiri;

Hapa ndipo swala zima la wajibu wa wapiga kura linapokuja kuwa la muhimu sana kwa mstakabari wa taifa.

Kwa Tanzania ukiwa mpiga domo (empty substance) basi hiyo ni tiketi kamilifu ya kuchaguliwa kuwa mbunge.

Tuna wabunge ambao ni mabingwa wa rhetoric lakini hawana input yoyote ya maana katika maswala ambayo really matter to the public kwa sababu uwezo wao katika uelewa ni mdogo pale yanapokuja maswala kama haya. Hata wale ambao uwezo wao ni mkubwa, wanakuwa wako pale kutofanya kazi yao kwa sababu ya partisan interests, na wachache wanaofanya kazi ya ubunge wanakuwa hawapati msaada wa kutosha kutoka kwa wabunge wengine.

Ni kichekesho pia vilevile ni huzuni pale unaposikiliza baadhi ya wabunge wakichangia Hoja, miswada na bajeti kwa jinsi walivyo na uelewa mdogo wa kile wanachokichangia.

Hata serikali inaonekana kama inafanya vizuri lakini deep down, it's shambles to the core.

Kwa maana hiyo hadi mimba zilizo kwenye matumbo ya watu zinadaiwa .kilichopo ni gunia la ziara za viongozi ulaya,asia,amerika na australia tutashindwaje kudaiwa ndiyo watu wanasema maisha bora kwa kila mtanzania hapo bado
 
Wana JF,waziri wa fedha Dr Mgimwa amesema kuwa deni la taifa ni trilion 20 na riba yake ni trilion 1.9 je serikali ya CCM inadhamira ya kweli kuboresha maisha ya watanzania? na tutaendeshaje nchi kwa mkopo wenye riba kubwa? WACHUMI nini faida ya DENI hili?
 
Ni mwezi wa sita tu deni lilikuwa karibu Trilion 15, kwa miezi mitano sita hivi limepanda karibu kwa 33%? Tunakoelekea siko!
 
Serekali inapoamua kukopa ndani Kukopa ndani Kama inavyofanyika sasa...inauwa kabisa sekta ya benki kwa wana nchi wa kawaida..mabenki yanavutiwa Zaidi kuikopesha serekali kuliko sekta binafsi....
 
Back
Top Bottom