Recent content by jogs

  1. J

    Wadau naombeni ushauri

    Thanks much ndugu mana haya maisha nikitegemea kitabu pekee ntaishia kupata hela ya ugali tu 🙂
  2. J

    Wadau naombeni ushauri

    Haya maisha ukikomaa na kitabu peke ake utaishia kupata hela ya kula na unaweza ukakosa kabisa hela yenyewe ya kula Also ukisubiri umalize kitabu kwanza utajikuta unamalza na age imekutupa mkono
  3. J

    Wadau naombeni ushauri

    Nipo chuo nasoma Diploma in Clinical Medicine lakini nafikiria kuanza kilimo cha mihogo maeneo ya kisarawe naombeni ushauri, maoni mtazamo hata kama kuna idea tofauti msaada wenu 💡
  4. J

    Kilimo kinavyonizidi kunitajirisha, milioni 50 kwa mwaka

    😂😂😂 young angekuwa labda ni 25 and below Ila ameanza vizuri but ni vizuri zaidi angekuja na ushahidi nini gharama ,,, bei gani inakuwa invested na inakujaje 50M per annum
Back
Top Bottom