Recent content by Jogoolakiume

  1. Jogoolakiume

    Ex-girlfriend wangu anahisi tumerudiana.

    Mndengereko nimeshakutana nae na thanx God nimemwambia ila kaondoka akiwa amenuna kinoma.....
  2. Jogoolakiume

    Ex-girlfriend wangu anahisi tumerudiana.

    mtemi wa urambo niweke picha ya nini....?
  3. Jogoolakiume

    Ex-girlfriend wangu anahisi tumerudiana.

    Nimeona ni bora nikutane nae ila co home then nimpe ukweli......
  4. Jogoolakiume

    Ex-girlfriend wangu anahisi tumerudiana.

    Hujawah kukutana na janga kama hili?........ni gumu kuliko unavyofikir......
  5. Jogoolakiume

    Ex-girlfriend wangu anahisi tumerudiana.

    Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini...
  6. Jogoolakiume

    Demu wangu mpya

    Posh samahani kwa hilo.....
  7. Jogoolakiume

    Demu wangu mpya

    cacico samahan kwa ku2mia neno demu na wala sina neno na kazi yake...tatizo ni ratiba yake ya kazi...ongelea hilo tafadhali...
  8. Jogoolakiume

    Demu wangu mpya

    Huyu co mke wangu ni g/friend wngu....simkosei heshima ila ni sehem tu ya kubadishana mawazo na kujifunza....
  9. Jogoolakiume

    Demu wangu mpya

    Baada ya kukaa bila msichana kwa muda mrefu kdogo nimeamua kuwa na demu lakini tatizo linakuja pale ninapotaka kumtambulisha kwa washikaji nashindwa coz anafanyakaz kwenye lounge moja hapa mjini na sometimes anaingiaga ucku ......ila nampenda tatizo ni hzo ratiba zake....eti wadau niendelee kuwa...
  10. Jogoolakiume

    Long distance relationship

    Ctak stress....hela natafuta kwa tabu..wa kula nae pia anisumbue....!
  11. Jogoolakiume

    Long distance relationship

    Queen kan na wewe ulijitoa?:confused:
  12. Jogoolakiume

    Long distance relationship

    Thanx guyz....design kama nilishaanza kumshit....so kama vp mmenipa go ahead...
  13. Jogoolakiume

    Long distance relationship

    Nilikuwa napenda sana mahusiano ya mbali lakini sikuhizi siyataki baada ya mwenzangu kutoonyesha kuni..miss au kuwa na hamu na mimi wakati hatujakutana siku nyingi...Halaf simu yake hata akienda kuoga anaenda nayo sijui anaficha kitu gani wakati sijawahi kuichunguza hata siku moja...nataka...
Back
Top Bottom