Alaf shule za gereza ziwe zinafaulisha vizuri kuliko shule zetu huku uraiani hahahahaaaaa..
Wazazi watakuja kuomba watoto wafungwe tuu hata miaka 20 akimaliza kifungo ana cheti cha form 4 anatoka anaendelea na form six na chuo.. Utasikia mzazi anampeleka mtoto wake polisi anasema mfungeni uyu...
Hii pia ni shida yangu.. Nilisikia kwenye redio kuna fixed account NMB ambayo inazalisha 9% ya pesa yako annually.. Hii fixed account unaweka pesa kwa miaka miwili nadhani NMB naomba ufafanuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.