Recent content by Jogoo Mstaafu

  1. J

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Ndugu zangu! Majina sio dini! Dini ya Uislamu sio waIslamu ni maandiko sio matendo ya wenye majina ya Uislamu au Ukristo! Chambua orodha ya "Mafisadi na Walioweka na Kutayarisha mikataba" Je, kuna Uislamu au Ukristo hapo ndugu? Bila kupotosha "Uislamu" ni uadilifu na kufuata "Njia Iliyonyooka"...
  2. J

    Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    Anolds kijana wangu! Suala la mahari ni la kimila, kidini na kimpenzi! Kwa mimi muumini wa dini ya Kiislamu mahari ni muhimu kwani ni zawadi kwa ayeolewa. Kiislamu kutokana na maandiko ya Kitabu chetu kitukufu anayeolewa ndiye hupewa mahari sio mzazi! Na mahari mara nyingi bi harusi huangalia...
  3. J

    Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    Anolds kijana wangu! Suala la mahari ni la kimila, kidini na kimpenzi! Kwa mimi muumini wa dini ya Kiislamu mahari ni muhimu kwani ni zawadi kwa nayeolewa. Kiislamu kutokana na maandiko ya Kitabu chetu kitukufu anayeolewa ndiye hupewa mahari sio mzazi! Na mahari mara nyingi bi harusi huangalia...
Back
Top Bottom