Recent content by Jofreyma

  1. Jofreyma

    JamiiForums Tanzania SALES OFFICER | Miaka 4 Uzoefu | 230+ Wateja | Niko Tayari kuamia popote Tanzania

    Asante kaka 🙏
  2. Jofreyma

    JamiiForums Tanzania SALES OFFICER | Miaka 4 Uzoefu | 230+ Wateja | Niko Tayari kuamia popote Tanzania

    Habari wakuu, Naitwa Jofrey Mshobozi Mafuru. Nina uzoefu wa miaka 4+ katika mauzo ya moja kwa moja na huduma kwa wateja. NINI NAWEZA KUFANYIA KAMPUNI YAKO: 1. Kusimamia wateja 200+ 2. Kufikia malengo ya mauzo kila mwezi - 93.3% client retention rate 3. Kupata maduka/wateja wapya kila wiki...
  3. Jofreyma

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana wa Insurance

    Habari. Nimejaribu kukutumia CV lakini PM inakataa. Nawezaje kuituma? Habari. Nimejaribu kukutumia CV lakini PM inakataa. Nawezaje kuituma?
  4. Jofreyma

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana wa Insurance

    Habari. Nimejaribu kukutumia CV lakini PM inakataa. Nawezaje kuituma?
  5. Jofreyma

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi

    Mawasiliano mkuu nikutafute
  6. Jofreyma

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana wa Insurance

    Uko wapi mkuu
  7. Jofreyma

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya Credit Officer - Tabora

    Habari wakuu, Jina langu ni Jofrey, nina uzoefu katika masuala ya ukopeshaji na huduma kwa wateja. Natafuta nafasi ya Credit Officer au Loan Officer hapa Tabora. Niko tayari kuanza kazi mara moja na nina uwezo wa kufanya kazi chini ya pressure. Nipigie: [0740 490 386, 0612945593 au watssap...
Back
Top Bottom