Recent content by Jofrey Sanga

  1. Jofrey Sanga

    Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

    Wengi munayaangalia haya mambo juu juu, hamuangalii chanzo kilikuwa ni nini.... tafakari kwa kina... nyuma kulikuwa na mkono wa mtu... ni maoni tu
  2. Jofrey Sanga

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nakubaliana na wewe kwa asilimia 85%, gari yangu niliagiza nje ni aina ya harrier, ilikuwa fresh sana, ila kuna kakitu kamoja kaliaharibika, nikaenda kutengeneza gareji moja hapa mjini, yani tokea hapo nimekuwa ni mtu wa kuenda gereji kila siku yani...mala hiki mala kile... duh hata nashindwa...
  3. Jofrey Sanga

    Malalamiko hayatoshi tusinunue vocha

    Sijui kama inawezeka, tusinunue Vocha?? Huu mgomo hauwezekani aisee
Back
Top Bottom