Recent content by JoEva

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tumtegemee RC Mtaka Dar?

    Inawezekana amefanikiwa huku Simiyu lakini akashindwa kupambana na changamoto za Dar. Halafu pia, kila Simiyu nayo ni sehemu ya Tanzania inahitaji kiongozi mzuri, mwenye utendaji mzuri
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais: Je, wanafanana? Kuna wengine kama wameokotwa tu, na wengine ni wapakwa mafuta Msijilinganishe

    Kwa wanaofuatilia suala hili kuna mambo mawili ambayo yanalifanya kuwa gumu: 1. Makasha " makontena" yalikuja kwa jina la mtu binafsi na siyo jina la Mradi au Taasisi 2. Sheria za kodi hazitoi msamaha wa kodi kwa fanicha
  3. J

    JamiiForums Tanzania TIC yadai ma-DC hawana weledi wa kukadiria kodi. Na wanakosea kuweka wawekezaji rumande 48 hrs

    Wakuu wa wilaya si wanafanya kazi chini ya ofisi ya waziri mkuu? Kwa nini kauli hii isitoke kwenye mamlaka yao ya kiutawala?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    Sasa hata kama Raisi alitaka kumfukuza kazi haya matamko yenu ndiyo yanaharibu. Mheshimiwa alishasema hapangiwi
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Anna Mghwira anahamishwa Kilimanjaro, kule atapewa mtoto wa Warioba
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kamba aliyoachiwa Makonda itamning'iniza na itatoa Somo

    Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Anne Kilango Malechela alipoteza kazi yake kwa kusema tu, kuwa mkoa wake hakua na watumishi hewa. Ni dhahiri kuwa mkuu wa utumishi wa mamlaka za mikoa ni RAS, hivyo ni lazima taarifa hizo yeye kama mwanasiasa alizipata kwa RAS. Kama ni adhabu ilitakiwa apewe RAS...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Ni kweli Makonda alikosea kwenye kuandika Bill of lading -ila, kwa kuwa inaeleweka vifaa vilikuwa kwa ajili ya shule za Dar es Salaam, busara ilikuwa ni kupokea na kukaa na Makonda kumwelimisha. Halafu serikali ingesimamia kuhakikisha kuwa beneficiaries wa vifaa hivyo ni exclusively shule za Dar...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu kutoka juu inawasambaratisha wenyeviti wa kamati za bunge. Bunge sasa ni joka la kibisa

    Hivi Nape Moses hana kamati yoyote huko?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Sheria za kodi zinaeleweka consignee anaandikwa kwenye bill of lading na siyo kwenye mzigo husika. Hata ukivuta jina kwenye mzigodocuments zilizosafirisha mzigo zinatambua mmiliki halali wa mzigo ni yule aliyeandikwa kwenye bill of lading
  10. J

    JamiiForums Tanzania Zitto ahoji hali ya uchumi kwa kurejea figure za BOT

    siyolazima kujiuma meno kwa lugha usiyoijua
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Walishau kuzungumzia demokrasia apparently kwa sababu wakati ule haikuwa shida
  12. J

    JamiiForums Tanzania Teuzi za wanataaluma wa UDSM kuingia serikalini zinatuletea ukabila

    Hapo naona umegoroga mambo: 1. Kuna argument ya teuzi za wanataaluma kuteuliwa kwenye nafasi za uongozi ndani wa wizara na idara za serikali 2. Kama wanataaluma wanateuliwa kwenye nafasi za uongozi ndani ya wizara na idara za serikali, - direct expected impact kwa chuo ilitakiwa iwe ni brain...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hassan Ngoma Clouds 360 tafuta kazi nyingine, uchambuzi umekushinda

    Kweli kabisa Baby Kabaye ana professional outlook, matured, collected, informed, na anaonekana kuwa very ethical
  14. J

    JamiiForums Tanzania CCM tusiwaige sana wachina na hasa hili la chama chao cha Kikomunisti kumsaidia Papa kuteua askofu wa Katoliki!

    T The church is made up of both of divine and human elements
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hassan Ngoma Clouds 360 tafuta kazi nyingine, uchambuzi umekushinda

    Huu utaratibu wa kuteaua waandishi wa habari kutoka mass media kuwa viongozi una madhara kwenye ethics za uandishi na utangazaji. Ni dhahiri sasa kuwa kwa sababu imeshafahamika eneo hilo ni moja ya maeneo yanayoangaliwa na viongozi wakuu kwa ajili ya uteuzi wanaofanya kazi huko watajitahidi...
Back
Top Bottom