Bwana Heri ...... naona unataka sasa kuwa Bwana Shari!!! Unautaka mswamaha kwa kosa gani? Hilo kosa ulifanya lini? Na uliyemfanyia kosa ni nani? Kwa nini mswamaha uutake sasa Bwana Shari!!
Kabla ya yote mwambieni ulimi wake usiwe na kigugumizi. Aeleze bayana mswamaha anataka wa nini? alikosa nini, alikosa lini, na kwa nini autake mswamaha leo?
CHADEMA wazungumzie hata
1. Hatma ya wanaoitwa wabunge wao 19
2. Kwa nini mkutano mkuu haufanyiki
3. Hali ya siasa nchini na hatma ya siasa za upinzani
4. Hivi kweli ni realistic kuendelea kuamini Tundu Lissu ni kiongozi wa Chama, wakati hayupo Tanzania. He does not involve himself in active...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.