Recent content by joemillimeter

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa, Korea, Juni 3, 2024

    Ivi izi shahada anazotunukiwa zote amezisomea??
  2. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mboga za majani aina ya Chainizi husababisha upungufu wa Nguvu za kiume

    Waliotakiwa kujibu hili sio USAID kwanza wao ndo wanaleta adi Michele wenye virutubisho, mamlaka ya afya na TBS ndio wajibu hili
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya ndoto yangu niitakayo

    Tanzania niitakayo ambayo itatengenezwa na watanzania wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani wenye masharti na vigezo visivyo na ladha ya kitanzania. 1. Tanzania ya wakulima ambao wanalima kwa tija, wakulima ambao watapewa pembejeo za kilimo (mbolea, mbegu bora, mashine za kulimia na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Hii clip ya mheshimiwa mmoja hapo Zanzibar ambaye anasema mzanzibari yeye automatiki ni mtanzania na ana haki ya kumiliki ardhi huku tanzania bara ila mtanzania Bara yeye sio mzanzibari na hana haki ya kumiliki ardhi akiwa Zanzibar imenipa ukakasi sana katika hili suala la muungano.. maana...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Socio economic and health well being of youth tanzanian is a key to better and brighter tomorrow nation

    Governments can implement a variety of strategies to improve the socio-economic and mental health of today's youth. Here are some common approaches: 1. Education and Training: - Improving Access to Quality Education: Ensuring that all children have access to quality education, including...
Back
Top Bottom