Spares zake ni ghali ila ni gari nzuri sana kama unauwezo wakuihudumia, haitaki mafuta ya gari kuwasha taa, haitaki mafuta yakuweka kila petrol station coz si salama kwa fuel pump na inataka service kwa wakati.
Wandugu kwema?jamani naombeni mniambie mbegu inayoitwa Anna f1 ni nzuri?na vipi uzaaji wake na ninaweza kuipanda kwenye open space?au naombeni ushauri wa mbegu inayozaa sana na kwa mda mrefu kwa zaidi ya miezi 5 na zaidi,ahsanteni.
Wakuu kwema?
Jamani naombeni mwongozo wa kupruni matawi ya nyanya huwa yanafanyika nyanya ikiwa imefikisha mda gani?na je ni matawi yapi yanatakiwa yapruniwe?dhumuni la kufanya hivyo ni nini sana sana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.