Recent content by joeljohn

  1. joeljohn

    Atheism: Imani nusu na robo

    Psalm 14:1 and psalm 53 :1 a fool one, said in heart that there's no God
  2. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Uongo mara nyingi hujitenga na mabishano sio suluhu ya kufanya Mungu asiwepo, kila mmoja alijikuta yupo duniani hata ukimuuliza anayebisha wakati yupo tumboni alikuwa anajiona, au kabla ya tumboni alikuwa wapi hawezi kukueleza
  3. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Watu walivyo mchukiza Mungu kwa lifestyle zao chafu kufanya sexual relationship na Malaika, ambapo walizaliwa uzao wa manifili wa wanyama, wanadamu ndege na mijusi refer apoclipher of fallen Angeles
  4. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Exodus 20:4,5 God works in laws and principles but in the arrival of Jesus christ it brought organized grace John 3:16 what can I say is that if you are wicked you'll be visited with iniquities if you are to repent the grace you receive
  5. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    The following are characteristics of my living God :he works for his people in providing good, he is above all names, principalities, gods and kings, he reigns in praise and worship, he has released lonely begotten son for gentiles to attain redemption, he is the word and bread of life, those...
  6. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Ni ukweli usiopingika kwamba Yesu ndio kiunganishi kati ya watu na Mungu kiunganishi hichi haijalishi huyu mtu amesimama kanisani msikitin au kwenye masinagogi bali kinachomata ni yuko kwenye kiunganishi kinachoitwa wokovu au yupo kwenye kiunganishi kinachoitwa dini, kiunganishi ni wokovu ambayo...
  7. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Ni Sawa lakini, kabisa liliendelea zaid hata maeneo mengine kama efeso, filipi ambaye saiv ni masharik ya kati na maeneo ya masharik ya mbali hata sehem zingine za dunia pia lakini sasa tunajadili biblia na ukweli wake sio biblia na umaeneo, tunajadili uhalisia[emoji4] [emoji4] [emoji4]
  8. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    vipofu wafunguka, vilema watembea wakati maneno kutoka kwenye biblia yakisemwa
  9. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Tukumbe pia that's still theory, it is no longer a principle, theory can be modified, removed or replaced, theories zilizokuwa Postulated na Charles Darwin na yule mwenzake zina weakness za kutosha believe in God and his words you will be established
  10. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Tuliochokuwa tunajadili ukweli wa biblia na sio utenganifu kati ya Bible na uyahudi, ni kweli wokovu watoka kwa wayahudi kwani hata Yesu mwenyewe ni myahudi na Bible is derived from hebrewish and greek terms ndio zikawa translated ktk lugha zingine, kwa hiyo niwaalike kwa mara nyingine kwamba...
  11. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Tatizo ni kwamba, watu wanaweza kutumia udhaifu wa mwingine kupitia dini, lakini hapo hapo inabidi ujue tofaut ya dini na wokovu, dini inatengenezwa na watu na anaetengeneza wokovu ni Mungu hivyo mtu anaweza kutumia udin for self interests
  12. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Kama unataka kufanya hypothesis, jaribu kufa siku ndipo utaona kuwa Bible ni katiba ya Mungu sio ya mkoloni [emoji4] [emoji4]
  13. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Fact tupu [emoji3] [emoji3]
  14. joeljohn

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Tatizo ni life style is in ya kimungu ndiyo ambayo unaweza sababisha br,
Back
Top Bottom