Recent content by Joel360

  1. J

    Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

    Huwa hawaoni shida kwenye kuachana
  2. J

    Tangazo la ajira

    You're welcome, my friend!
  3. J

    Tangazo la ajira

    Mbona daah tena kiongozi wangu
  4. J

    Tangazo la ajira

    HABARI !!!NAHITAJI KIJANA WA KIUME ANAEJUA KUPAKA KUCHA RANGI,KUBANDIKAKUCHA, NA KUBANDIKA KOPE ENEO :KATORO- GEITA MAWASILIANO 0693795737 MSHAHARA MAELEWANO Sourc: Ajirazone,on Instagram @ajirazone
  5. J

    Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Kuna shule moja hapa morogoro, ni shule kubwa sana lakini huwa inafanya interview kila mwaka ila cha ajabu hakuna anayeajiriwa. Kumbe huwa wanafanya kama kutengeneza image ya shule.
  6. J

    Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Hata barua zenyewe nina uhakika hawazisomi kabisa yani. Nahisi zinakwenda moja kwa moja kwenye dustbin
  7. J

    Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Mtu aliyewahi kusota kutafuta ajira tu ndio anaeweza kuelewa
  8. J

    Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani?

    Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani? Jamani hili swali limenishinda. Nisaidieni.
  9. J

    Notes za secondary (pdf) bei nafuu sana

    Tunakupa Notes za secondary zilizo katika format ya PDF kwa bei nafuu sana. 1. Notes tumeziandaa wenyewe. 2. Tumezingatia syllabus katika kuziandaa kwa hiyo Topic zote zipo. 3. Kwa upande wa Geography na Biology michoro, diagram na picha zote zipo kukufanya uelewe kirahisi sana masomo hayo. 4...
  10. J

    Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Swali zuri sana boss. Unajua sisi ambao hatuna experience, linapokuja suala la salary huwa hatuna ujanja sana kwenye mazungumzo maana hatuwezi kudai mshahara wa mtu mwenye experience. Na wenyewe huwa wanatuchukua kwa sababu wanajua hatuwezi kudai hela nyingi. Mshahara sio ule nilioutarajia...
  11. J

    Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Nimekujibu boss labda uulize tena
  12. J

    Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Ndugu yangu, kuna watu wazo la kumjali mtu mwingine hawanaga kabisa. Wao wanachoona ni kwamba wapate wanachokitaka basi. Ila inakera sana.
  13. J

    Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Yawezekana ikawa fursa ya ajira
  14. J

    Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Kwa hapo sijajua labda mtu mwingine aje atusaidie kwenye hilo suala!
  15. J

    Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Ndio kwa upande wangu mimi nimeona magroup ya ajira kuna baadhi nimeona unatakiwa utoe angalau kama sio 2000 basi 3000 ili ujiunge. Ila yakujiunga BURE nayo yapo pia!
Back
Top Bottom