Recent content by Joel cole

  1. J

    JamiiForums Tanzania msaada,kwa wenyeji wa mkoa wa morogoro .

    asante, kwa ufafanuzi wako mungu akubariki
  2. J

    JamiiForums Tanzania msaada,kwa wenyeji wa mkoa wa morogoro .

    asante kwa ufafanuzi wako mzuri
  3. J

    JamiiForums Tanzania msaada,kwa wenyeji wa mkoa wa morogoro .

    asante, mungu akubariki
  4. J

    JamiiForums Tanzania msaada,kwa wenyeji wa mkoa wa morogoro .

    asante,kwa wadau wote waliochangia mada yangu hapo juu. wenye maelezo zaidi tafadhari nisaidieni jamani
  5. J

    JamiiForums Tanzania msaada,kwa wenyeji wa mkoa wa morogoro .

    siyo hivyo ndugu yangu, mtu anapo uliza ujue kuna kitu anataka kujua kabla ya kufanya maamuzi. msaada tafadhari
  6. J

    JamiiForums Tanzania msaada,kwa wenyeji wa mkoa wa morogoro .

    msaada wadau jamani
  7. J

    JamiiForums Tanzania msaada,kwa wenyeji wa mkoa wa morogoro .

    habari wanajamvi?. naomba kwa mwenye kuufahamu mkoa wa morogoro vizuri mimi ni mwalimu tarajari wa shule za misingi. napenda kuufahamu mkoa huu katika nyanja zifuatazo;_ 1. uwekezaji hususani kilimo na ufugaji vinafanyikaje. 2. mawasiliano ya simu, na miundo mbinu ya usafiri. 3. hali...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tuwaenzi walimu wa somo la Mwandiko

    mwal mtima kivyiro kasebuzi p/school heshima kwake
  9. J

    JamiiForums Tanzania Gharama za maisha Manispaa ya Sumbawanga

    ni pm ,ndugu yangu tubonge zaidi karibu katika kisiwa cha amani wafipa ni wakalimu sana.mimi mwenyewe mgeni huu mwaka wa nne na maisha yanaenda
  10. J

    JamiiForums Tanzania JKT kwa walimu Wa 2015

    umemalizia chuo gani? wewe
  11. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma na kupokea pesa kutoka nje ya nchi

    ngoja,nikawasiliane na tawi CRDB la hapa karibu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma na kupokea pesa kutoka nje ya nchi

    asanteni,kwa mawazo yenu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma na kupokea pesa kutoka nje ya nchi

    Habari Wadau!, Hivi mtu mwenye Akaunti ya Benki Ya CRDB, anaweza kupokea pesa kutoka kwenye benki za nchi za ulaya moja kwa moja kwenye akaunti yake?.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwa nn wanasayansi hutumia wanyama badala ya binadamu katka majarbio mbalimbali?

    wanatumia wanyama tofauti na binadamu kwa sababu zifuatazo;_ 1. wanyama ni raisi kuwanunua kwa ghalama nafuu,tofauti na binadamu. 2.wanyama hata wakifa haina athari kubwa ,kama wangetumika binamu 3.sabubu ya kiuchumi. mfano jaribio likiwa linahitaji namba kubwa ya viumbe ,itakuwa rahisi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Afya na mazoezi ya viungo

    nawapongeza wote wario nipa ushauri ,naona mwili umeanza kuzoea taratibu. mungu awabariki
Back
Top Bottom