Recent content by joe14

  1. J

    JamiiForums Tanzania Zantel 4G

    Yani kama voda ukijiunga tena bando la chuo internet pekee ndo hata mnara haupandi kabisa,si mm 2 hata wenzangu mwendo ndo huohuo. Big up halotel spidi ya mwendokasi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Vigogo wawili ATCL wasimamishwa kazi kwa kosa la kumchagua rubani asiye na sifa kusoma Canada

    Hao hawaendi kujifuza urubani bali ndege mpya kama hizo aina ya q400 wanazoleta ni mpya,so ni kozi tu fupi kwa maana ni aina mpya hio ya ndege kwetu Tz. Hicho kitu kipo hata kwa mashine mpya viwandani au kwa kifaa kipya hospital.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Help

    Asante
  4. J

    JamiiForums Tanzania Help

    Asante sana mkuu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Help

    Nitapata wapi payment voucher kwa ajili ya kuomba course TCU na shilingi ngapi hio voucher.wana JF msaada please!!
Back
Top Bottom