Recent content by Jodoki Kalimilo

  1. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    508UBL tuanze na hii SPORTYBET
  2. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Odds zinazingua sana hasa timu za America Kusini...unakuta odds 1.40 : 3.50…..na bado aliweka 3.60 Akala na inatokea mara nyingi
  3. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BW4AF9C2A1 BETWAY
  4. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Angela Kizigha kama Magufuli angerejea angemnasa makofi

    Pitia pitia nyuzi za nyuma na kuna clip kibao, nyuzi hiyo ya mwaka jana👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/angela-kizigha-ndio-nyota-wa-mchezo.2382612/
  5. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wa kuweka mizigo hatimae nimerudi baada ya kupotea miezi kadhaa naona leo TCRA wameachia mitambo bila VPN kitu kinafunguka
  6. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Wameachia tuagane au labda sio Jukwaa hili maana JF ipo Twitter, Facebook au Instagram sijui JF Digital etc Wanavyoifungia utadhani hata hao viongozi wa serikali wangefuatwa ili ku-balance story wangekuwa na majibu manyoofu
  7. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Nilikuwa natafuta comment kama hii maana hata mie sina VPN (nikasema kulikoni au simu yangu ina VPN bila kujua) Actually niliona post kwenye page yao ya Facebook nikasema niingie kujaribu na nikafanikiwa)
  8. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu hazijalipwa

    Badala la tutahakikisha tunapunguza idadi ya vifo kwa kuendelea kuboresha huduma za afya....yeye anakuja na issue ya kuachia maiti
  9. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu hazijalipwa

    Yaani kama ni mgeni anasikiliza alafu hajui kinachoendelea, anaweza kudhani madam ni kutoka chama cha upinzani kwa hayo anayoyaeleza
  10. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kigoma niwaelewa sidhani kama watachagua huyu comedian wa CCM na kumuacha Zitto Kabwe

    Shida hata hawa wasomi tunaowapigania waingie bungeni wengi hawana mchango wowote wakiwa bungeni hasa ikifika kile kipengele cha """Wanaoafiki waseme ndio....utasikia NDIYOOOOOOOO" hata kama nafsi yake inahisi kuna hapana Acha wapeleke bungeni watu wanaofanana nao kielimu
  11. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    V3TXFJN Betpawa
  12. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri
  13. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Hajui kwamba kuna wengine ni wazee wa kufanya kaza za kutoka (utekelezaji) na wengine ni wazee wa kutanya kazi za kuweka mipango na strategies za kufanya kazi kisha jioni anapokea taarifa na kuziweka sawa na kuweka program za siku zinazofuata, anakuwa anapiga home Vile anavyomuona kavaa vizuri...
  14. Jodoki Kalimilo

    JamiiForums Tanzania Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Faustine amezikwa mjini alikozaliwa ila baba yake ambae alikuwa ni Afisa wa Serikali alipelekwa kuzikwa kijijini alipozaliwa
Back
Top Bottom