Recent content by jodah

  1. J

    JamiiForums Tanzania afya ya uzazi

    naomba kama kuna m2 anajua mwanamke ambaye siku zake za kupata hedhi zinabadilika badilika anaweza kupata mimba siku zipi?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Afya ya uzazi

    jamani naomba kama kuna mtu mwenye uelewa wa aya mambo anisaidie.hivi mwanamke ambaye siku zake za mzunguko ni mchanganyiko yani hauna tarehe maalum,tofauti na tulivyozoea siku 28 siku zake za kupata mimba ni zipi.nisaidieni
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP waelekea Mtwara kusaka suluhu!

    aah kulia lazima yule,
  4. J

    JamiiForums Tanzania Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    viongozi ndo wajifunze kusikiliza matatizo ya wananchi kwa sababu wananchi wana nguvu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Ni ukweli mtupu si lazima kuchangia,by the way chanzo kitajulikana.
Back
Top Bottom