Mkuu Mzee Mwanakijiji inawezekana sijakuelewa vema ila yangu ni haya.... Kwenye mpira mnapoona mwenzenu hafanyi yale mnayotarajia ni lazima aidha akae benchi. apelekwe sehemu kwa mkopo au kuuzwa kabisa ili kuleta mnyumbuliko unaoeleweka katika timu. Na hata katika sihasa zetu za vyama tele ndani...
Ni kweli kabisa Wadanganyika wengi wanafuatilia sana sihasa kwa sababu sihasa ndiyo pumzi yao...maana hii ndio huamua mpango mzima wa maendeleo ya taifa hili lilotopea kwenye lindi kubwa la uasikini.
We mama leo umekuwa mtamu....... kiukweli PM ni kama kikaragosi wala hana ubavu wowote... Yaan hii CCM ni ya kuangalia mauaji ya Raia siku kwa njia ya barabarani bila kuchukua Dar
Hi guys,
Nipo Dodoma, natafuta vifaa vya salon ya kiume used kwa being nzuri, vifaa hivyo ni viti 2, machine 2 za kunyolea, na vioo viwili. Kwa mwenye navyo naomba ani pm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.