Recent content by Jobha

  1. J

    Wanaume, kwanini mnaoa wanawake wasio warembo kisha mnafumaniwa na warembo?

    Yaani mimi ndio niwe wa kurushiwa maumivu kwa jina la ndoa...unifanyie mapichapicha kisa umenioa? Hiyo ndoa imekua ni uhai! Kupenda ndoa bila kujithsmini ndio matokeo yake haya yaan mtu anajisifia kbs hakuna baya ntamtupia akakimbia[emoji28][emoji28] heri kuikosa hiyo ndoa nikiwa mzima kuliko...
  2. J

    Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

    Mkuu ujue nashangaa na nashindwa hata nianzie wapi kukushauri...hako katoto kalikuloga nini?
  3. J

    Ulishawahi kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto/watoto? Hii inahitaji hekima na busara nyingi sana

    Hujaniuliza mm ila naomba nikujibu kwa experience yangu..kua na subira huku ukimuomba Mungu I mean it sababu nina ndugu yangu alikaa miaka8 bila mtoto ilibakia kidogo watengane mambo yalikua ni mengi mno huwez amini mwaka wa 9 mkewe akaconcieve akapata mapacha3 wawili wa kiume 1 wa kike! Jirani...
  4. J

    Maneno 15 yanayotumika sana kwenye Korea Drama

    Komasmitaa-thank u, asante Komasmita komao-asante kushukuru Hyungnim-heshima kwa mtoto wa kiume km kaka japo anaweza asiee ndugu yako Horabunyee-brother , kaka Kamchupirimita-hongera Pehaa-mfalme Puii-kiongozi wa kike au niseme malkia ila sio kwa kuolewa kibongobongo km mama Samia...
  5. J

    Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

    Cha kushangaza ndio makabila yanayoongoza kwa kuolewa Tz hilo likubaliwe au likataliwe...most of them ndoa zao zinakuaga na maendeleo kupita kiasi hata katika nyanja kubwa na sekta za muhimu kitaifa lazima ukutane na hizo chata zimejaa ukianzia ma lecturers vyuoni utasikia kina Mwaseba,Urassa na...
  6. J

    Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

    Mdogo wake anaitwa Edward sio Renatus
  7. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sio wote nilenda nao dry hlf nilishapima sina vyote[emoji4]
  8. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sio wewe tu ni wengi my friend!
  9. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ni ya kawaida sababu sikuua mtu...asante kwa munitakia maandalizi mema!
  10. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Washaprove right asante kwa kujali[emoji23]
  11. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwa kweli[emoji31]
  12. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyu ni mfume dume type yaan visa vyng imeonyesha kabisa jinsi vimemkereketa[emoji23][emoji23]
  13. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kumbe nadeal na mtu wa aina yako[emoji23][emoji23]...sheikh mtabiri usikariri lifestyle uliyonayo ukashani kila mtu anaiishi hiyo hiyo...niwe nazo mshindo au mtelezo hiyo cdhan km inabadilisha chcht kwny maisha yk
  14. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sasa nikatae kwa kua nalipwa nini? Kufanya ni kufanya tu either utumie kinga au dry...utaforce vp kitu ambacho hukuwepo na ww si mlengwa[emoji849] SMH
Back
Top Bottom