Recent content by JOBE

  1. J

    Waziri Nyalandu afunguka kuhusu tuhuma

    Wazalendowenzangu Nyalandu hajasema ukweli. Bado anafanya biashara ya utalii vizurisana. Kuna senators kutoka US miezi minne iliyopita waliletwa na kampuni yanyalandu arusha. Pia ana account yenye jina TOUCH TANZANIA anayoitumia kuombamisaada ya watoto yatima na pia ujenzi wa kanisa lakini huwa...
  2. J

  3. J

    Waziri Nyalandu afunguka kuhusu tuhuma

    Kwa kweli hilo mkuu hata mimi nalisikia ila sina uhakika nalo na kuna wakati nahisi ni uongo sababu Nyalandu ni mtu wa mademu sana. Sasa atakuwa anafanya nini na hao mademu kama jogoo hapandi? Halafu mkumbuke alimuoa faraja akiwa na 22 years, now 27, bado binti mdogo, angekuwa jogoo hapandi...
  4. J

    Waziri Nyalandu afunguka kuhusu tuhuma

    Niko tayari kutoa ushirikiano mkuu!
  5. J

    Waziri Nyalandu afunguka kuhusu tuhuma

    Alitokea marekani akafanya kazi Tanapa kwa muda then ndio akaingia kwenye siasa 2010.Sina chuki binafsi na Nyalandu ila nimeeleza nilicho na uhakika nacho kuhusu Nyalandu. Nafahamu madhara ya kumsingizia mtu uongo ni makubwa sana (kidini) na kamwe siwezi kumsingizia kwa kuwa hakuna...
  6. J

    Waziri Nyalandu afunguka kuhusu tuhuma

    Wazalendo wenzangu Nyalandu hajasema ukweli,bado anafanya biashara ya utalii vizuri sana. Kuna senators kutoka US miezi minne iliyopita waliletwa na kampuni ya Nyalandu Arusha. Pia ana account yenye jina TOUCH TANZANIA anayoitumia kuomba misaada ya watoto yatima na pia ujenzi wa kanisa lakini...
  7. J

    Waziri Nyalandu afunguka kuhusu tuhuma

    Wazalendowenzangu Nyalandu hajasema ukweli. Bado anafanya biashara ya utalii vizurisana. Kuna senators kutoka US miezi minne iliyopita waliletwa na kampuni yanyalandu arusha. Pia ana account yenye jina TOUCH TANZANIA anayoitumia kuombamisaada ya watoto yatima na pia ujenzi wa kanisa lakini huwa...
  8. J

    Waziri Nyalandu afunguka kuhusu tuhuma

    Wazalendo wenzangu Nyalandu hajasema ukweli. Bado anafanya biashara ya utalii vizuri sana. Kuna senators kutoka US miezi minne iliyopita waliletwa na kampuni ya nyalandu arusha. Pia ana account yenye jina TOUCH TANZANIA anayoitumia kuomba misaada ya watoto yatima na pia ujenzi wa kanisa lakini...
  9. J

    Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

    Singida kaskazini kuna kamanda anajiandaa kumuangusha tapeli Lazaro Nyalandu
  10. J

    Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

    Singida Kaskazini kamanda mmoja anajiandaa kumuangusha mzinzi na tapeli Lazaro Nyalandu. Kamanda huyo alitoa kauli hiyo siku ya fundraising ya chadema pale Naura Springs Hotel Wananchi wa singida kaskazini wameshalia sana na utapeli wa huyu kilaza Lazaro wa kusafirisha watoto toka Singida hadi...
  11. J

    Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

    Singida Kaskazini kuna mwanachadema anajiandaa kumngo'a mzinzi na tapeli Lazaro Nyalandu,alitoa ahadi hiyo siku ya fundraising ya kuchangia Chadema kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki Naura Springs hotel. Kamanda huyo alichangia milioni 7. Huyu mzinzi Nyalandu lazima ang'olewe,amedhalilisha...
  12. J

    Lowasa na uchaguzi Arumeru

    Lowassa ndie rais wetu 2015, he is the development dictator and thats the kind of man we want kwa Tanzania ya leo!
  13. J

    Kikwete muondoe Lazaro Nyalandu kwenye baraza la mawaziri, hafai

    Wakati umefika wa kumshitaki Lazaro,hatuwezi kuendelea kukaa kimya watoto wetu waendelee kudhalilishwa na huyu kijana. Andaa ushahidi tumshitaki!
  14. J

    Kikwete muondoe Lazaro Nyalandu kwenye baraza la mawaziri, hafai

    Siwashangai wala kuwachukia wanaonishambulia kwa kuwa hata mimi nilimjua Lazaro kama kiongozi safi, tegemeo la vijana na mkombozi wa wanyonge! It takes tym to know a person well!
Back
Top Bottom