Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

Moshi mjini babu Ndesa hatagombea, ila atamsimamisha Jaffari na jimbo litaendelea kuwa la CDM.
 
B.mulo Mh Mbasa endelea kuvuta kamba usiiangushe Chadema ili 2015 chadema isianguke nadhan unaziona jitihada za mkasa ccm kwa sasa anatembelea wananchi sana japo sio mbuge.
 
Kwa kiasi kikubwa uko sahihi. Hili jimbo lina wapigakura makini sana. Wananchi wa huko wengi wanatambua kuwa maendeleo yatakuja kwa jitihada binafsi. Wanatambua kuwa mbunge anasaidia lakini siyo alfa na omega. Hauwezi, kwa mfano, ukawadanganya kuwa "mkimchagua huyu, matatizo yenu ya maji yataisha".

Inabidi ujenge argument iliyoenda deep zaidi.

Mbunge wa sasa amepewa kama huruma tu kwa masahibu aliyopita miaka mingi, na kumshukuru kwa kazi aliyofanya hapo zamani.
 
Kinondoni-tuandae jembe la ukweli kuanzia sasa.
Kibaha-hili la kwetu kabisa
Shinyanga mjini-naenda kulichukua
Kishapu-Mpendazoe arudi ni jimbo lake kabisa.
Kahama-Tayari tuna kamanda anasubiri muda ufike tuyaoneshe magamba kazi
Muhambwe-mkosamali atarudi kwa tiketi ya CDM
Songea Mjini-Mbogoro
Na mwisho ikulu ya magogoni yatakuwa makazi ya DR Slaa Dr wa ukweee watu PIPOZZZZZZZZZZ POWERRRRRR
Tarehe 01/12/2015 Uwanja wa Taifa utaitwa PIPOZ STADIUM.
 
Kuhusu kuumwa kwa mbunge tumwombee kwa Mola amponye maradhi yake, lakini 2015 tunachukua karibu yote, hata lile la Nimrodi Mkono anayedai kuwa ana hati miliki mpaka atakapokufa.
 
Njombe kusini bi kiroboto kisha soma alama kasema hagombei Cdm wanalibeba. Mtera hilo ndo hakuna shida record ya lusinde 2 jimbo linakwnd cdm.
 
Mbarali-Mbeya, hili jimbo lina vijiji vingi sana vinavyoipa kiburi CCM. CDM ihakikishe kuna mtu sasa ambaye anajitahidi at least kutembelea kwa ukawaida vijiji hivyo hata tu kuongea na mabalozi, wenyeviti na kufanya mikutano kidogo basi litachukulika kiurahisi sana
 
Singida Kaskazini kuna mwanachadema anajiandaa kumngo'a mzinzi na tapeli Lazaro Nyalandu,alitoa ahadi hiyo siku ya fundraising ya kuchangia Chadema kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki Naura Springs hotel. Kamanda huyo alichangia milioni 7. Huyu mzinzi Nyalandu lazima ang'olewe,amedhalilisha sana watoto wa singida kwa kuwasafirisha toka singida hadi Arusha na kuwapiga picha,kuwaexpose kwa wafadhili kwa ajili ya malipo ya karo za shule then mapesa anachukua yeye! Mbunge unafanya utapeli wa aina hii? Watoto hao wa Singida wanamlilia mungu yeye atumbue raha sasa hivi lakini kilio chake kiko karibu kuliko anavyotegemea!
 
Jimbo la Rombo,hili linaweza kurudi ccm kama mbunge wa sasa atarudi kugombea,maana mbunge wa sasa wa cdm joseph selasini hamna alihofanya zaidi ya kung'ang'ania posho bungeni. Na tabia ya warombo huwa hawaangalii chama bali mtu. mramba analitambua hili sana alivyowekwa kando na wananhi akapewa salakana,salakana naye hakuwa na tofauti kama alivyo selasini wa sasa raia wakapiga chini. Ndani ya mfumo wa chama kimoja. upinzani ulikuwepo pia,wananhi walikuwa wakibadilisha mbunge pale anapokuwa hajafanya lolote,hivyo ilikuwa ni bandika bandua kati ya Mramba na hayati Ngalai. So CDM take a note,yasije yakajirudia kama awali mlivyolipoteza jimbo mikononi mwa Salakana.
 
Na makete nao tumeshawasha moto wa mageuzi,Lakini kunavizee fulani vilaza wamechana bendera yetu nakutupa choo,Vijana tumeshaliwasilisha swala hili police limeanza kushughulikiwa,Mkitaka kulijua swala hili mtafuteni m/kiti Chadema wilaya ya makete.Nawasilisha
Tuko pamoja Malabata. Tutetee jimbo letu bwana sio akina Tuntemeke wanazusha mambo ya Arumeru wakati kwao ndo hivyo tena. Nikikumbukaga yale madini ya Ujuni! Ule mchezo sitakaa nisahau.
 
Singida Kaskazini kamanda mmoja anajiandaa kumuangusha mzinzi na tapeli Lazaro Nyalandu. Kamanda huyo alitoa kauli hiyo siku ya fundraising ya chadema pale Naura Springs Hotel Wananchi wa singida kaskazini wameshalia sana na utapeli wa huyu kilaza Lazaro wa kusafirisha watoto toka Singida hadi Arusha kuwapiga picha na kuwaahidi kuwalipia ada lakini pesa anafaidi yeye. Ishu hii ilishatolewa kwenye gazeti la Dira ya Mtanzania January mwaka huu. Wazazi na watoto waliofanyiwa haya wameumia sana na wako tayari kumuangusha huyu mzinzi 2015!
 
Jimbo la Rombo,hili linaweza kurudi ccm kama mbunge wa sasa atarudi kugombea,maana mbunge wa sasa wa cdm joseph selasini hamna alihofanya zaidi ya kung'ang'ania posho bungeni. Na tabia ya warombo huwa hawaangalii chama bali mtu. mramba analitambua hili sana alivyowekwa kando na wananhi akapewa salakana,salakana naye hakuwa na tofauti kama alivyo selasini wa sasa raia wakapiga chini. Ndani ya mfumo wa chama kimoja. upinzani ulikuwepo pia,wananhi walikuwa wakibadilisha mbunge pale anapokuwa hajafanya lolote,hivyo ilikuwa ni bandika bandua kati ya Mramba na hayati Ngalai. So CDM take a note,yasije yakajirudia kama awali mlivyolipoteza jimbo mikononi mwa Salakana.


Rombo labda Ben Saanane atachukua jimbo.Selasini anafanya kosa kubwa huku mwenzake ameshajenga mtandao na anavuruga madiwani wa CCM kwa kupanga safu ya wagombea 2015.Huyu dogo akiacha kisirani akatumia uwezo wake wa kushawishi na kujenga hoja chadema mtapona.Ila asipeleke siasa zake za mrengo wa kushoto rombo damu itamwagika.huyu ni radical leftist mbaya sana.Pamoja na kwamba naipenda CCM na nitaendelea kuwa mwanachama endapo Lowassa hatasimama 2015 lakini ningependa nione mchuono wa Ben Saanane dhidi ya Basil mramba au Notburga Masikini.huyu mama ni kiboko,ni msomi mwenye masters ya Hr na ni mtendaji mzuri sana.Ila wakiungana na Mramba safari hii labda Ben Saanane atumie nguvu na mbinu za kimafia kama kawaida yake.Dogo atulie ajiimarishe kimtandao na atumie taaluma yake vizuri hapo Rombo itabaki upinzani.Selasini yuko hali mbaya sana kisiasa kwa kushinikiza posho

huyu dogo nae Siasa aggresive akizipeleka moshi mjini atachukua jimbo ingawa itavuruga urafiki wao na Jaffary na naskia Ben anamshawishi Jaffary agombee uenyekiti wa mkoa kuimarisha chama kuelekea 2015 ili wachukue majimbo yote kilimanjaro.Mbinu zao za kuitisha serengeti breweries ili ichangie mtandao wao CCM wameshashtukia
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Jimbo la uyu mama nan sjui kama ana mume uyu ambaye kasema atagombea tena na hapa chadema wandae mtu makini jimbo letu lile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom