Recent content by Joan Pius

  1. J

    January Makamba na Wilson Kabwe ni mtihani wa utendaji wa haki na uadilifu wa utawala wa Magufuli!!

    Hii imezimwa au imezimika? hukumsikia mtoa mada alisema anataka habari zenye critical evidence...that means hakua na evidence ni maneno matupu
  2. J

    January Makamba na Wilson Kabwe ni mtihani wa utendaji wa haki na uadilifu wa utawala wa Magufuli!!

    Waache badala wafikirie maisha yatakwendaje asubuhi yote na baridi hii wanamuwaza mwanaume mwenzao.
  3. J

    Ushahidi tuhuma za January Makamba

    January Makamba ni kiongozi mzuri na mfano wa kugwa kwa vijana wengi, alikua na nafasi ya kufa ya haya enzi za JK lakin kutokana na weledi na mapnz yake akaiweka nchi mbele. Leo mjinga mmoja mwnye njaa asitugombanishe na viongozi wetu tuliowachagua kwa gharama na mapenz
  4. J

    Ushahidi tuhuma za January Makamba

    Watu wamekalia umbea wakisikia kitu wanakibeba juu juu bila kuchunguza...
  5. J

    Mange Kimambi ni Spika ya Redio tu

    Mada imewekwa hapa ijadiliwe
  6. J

    Mange Kimambi ni Spika ya Redio tu

    Hapo ukimwambia athibishe kivipi JM anahusika hawezi
  7. J

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    Usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako, tungekua tunaishi ndani ya mfumo huu wa maisha hakika tungekuwa tunaishi maisha mwanzanana sana.. ila ubaya ni kwamba watu tunafanya ambavyo hatutamani kiufanyiwa...ila kwa vile tunawafanyia wengine sisi kwetu hatujali...pole sana mama regina kwa...
  8. J

    Tumbo ni deni la maisha sio lazima kulipa kila siku.

    Mengi yanayofanyika kwake ni Maigizo tena ya gharama kubwa sana..Anawaaminisha Wantanzania kwa kutumia nguvu kubwa sana kua yeye ndio anakubalika, yupo tayari kuwalipa hata watu wadeki barabara, wazimie, walie na mengine ya kufanana na hayo. Kiongozi wa namna hii ambae yupo tayari kuinunua...
  9. J

    GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Magufuli ni Rais anayesubiri kuapishwa..kazi kweli itafanyikaa
  10. J

    GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    This is the matter of death and life...hapa ni kuhakikisha kila unachokifanya kinakuletea matokeo chanya huuu ni muda wa kupigana kwa ajili ya ukombozi wa Tanzania, tunataka Tanzania mpya,tanzania inayosogea mbele kwa kasi kubwa. Wakati wenzetu wanatembea sisi tunahitaji kukimbia. Tushikamano...
  11. J

    Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)

    HAHAHHA nyie watu mnafurahisha sana ujue, yani mmefungwa 2-1 alafu mnafurahi, tena na goli mmoja lenyewe mmeotea. Kweli boraukose mali nduguzako wakuchangie kuliko ukose akili maana hutakua na faida yeyote kwenye jamii. Utafiti mmefanya na taasisi ya chama chenu alafu mnajisifia? hiyo ni akili...
  12. J

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    Watu ujana wao wote wameutumia wakijilimbikizia mali za umma, baada ya kuona walichoiba kitawafikisha kaburini sasa wanataka kutuaminisha kua eti wao wanaweza kuleta mabadiliko. You can not teach an old dog new tricks, sasa huyo kashazoea kuiba leo anataka kutuambia kua anaweza kuleta...
  13. J

    Sumaye amekuwa 'Betri' ya Lowassa...

    Naona wanasajili tu ila shughuli ni ngumu mwaka huu hawatoki...CCM NI MZIKI MNENE
  14. J

    List of shame yaondolewa kwenye tovuti ya CHADEMA

    Mbona kama umepaniki? kwani vingapi vinaandikwaga na bado humu vinawekwa? hatuko hapa kukufurahisha, kama unatafuta kufurahi fanya kingine, humu tumo kuzungumza ukweli na ukweli ukuegemea kwako poleee..
  15. J

    NCCR, Mch.Mtikila waipasua Ukawa. Wasaidizi wa Mbatia wamshutumu kutumika na Chadema

    Mbatia na yeye amekaaa kama goalkeeper, haijalishi shoot kapiga nani ila atadaka yeye, unashindwa kuelewa hata mgawanyiko wa kazi ndani ya chama taifa mtaliweza nyie kweli. Mbatia na sauti yako yakwanza uwe makini NCCR itakufa maana mkipta hata wabunge 5 mkafanya tambiko. Chezea mbowe wewe...
Back
Top Bottom