Recent content by Joachimb

  1. J

    JamiiForums Tanzania Namtafuta ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard

    Hili swali hata nikijibu sidhani kama itasaidia sana, ndo maana najibu maswali yenye mlengo wa kusaidia kumpata
  2. J

    JamiiForums Tanzania Namtafuta ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard

    Tuombe Mungu isiwe hivo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Namtafuta ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard

    Aliondoka katika kutafta maisha,mtoto nilibaki nae kama ndugu,ila baadae upatikanaji wake ukawa wa shida
  4. J

    JamiiForums Tanzania Namtafuta ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard

    Nimetrace ngara wakasema hko hajawahi kurudi, ila wanasisitiza tangu aende katoro hajawahi kuonekana,ndo imebidi nilete kwenu waungwana mnaweza kuwa mshamuona sehem alipo
  5. J

    JamiiForums Tanzania Namtafuta ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard

    Sio kweli,ingekua hivo ningekua nshampata,nataka mtoto ampate mama yake ili amjue mama yake,naomba kama atapatikana itakua nzur
  6. J

    JamiiForums Tanzania Namtafuta ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard

    Ahsante
  7. J

    JamiiForums Tanzania Namtafuta ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard

    Ahsante
  8. J

    JamiiForums Tanzania Namtafuta ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard

    Ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard, nilipotezana nae mwaka 2012 akiwa Katoro Geita, alikua anajihusisha na kazi ya mama ntilie ila kwao ni mzaliwa wa Ngara. Lengo la kumtafuta aliacha mtoto wake mdogo sasa hivi kawa mkubwa anatamani kumuona mama yake. Kama kuna mtu anamfahamu au anafahamu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta POS za kununua za benki ya NMB na CRDB

    Selcom unaweza kufanyia miamala ya benki,maana sjawahi kuitumia hiyo
  10. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta POS ya kununua ya NMB na CRDB bank

    Sawa tajiri,niuzie bas
  11. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta POS ya kununua ya NMB na CRDB bank

    Ok
  12. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta POS ya kununua ya NMB na CRDB bank

    Natafta posi ya kununua ya benki za CRDB na NMB kwa yeyote atakua nazo naomba anitafte inbox tufanye biashara
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta POS za kununua za benki ya NMB na CRDB

    Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Kula 3m mkuu
  15. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

    Nikutafte inbox mkuu unipe idea hiyo
Back
Top Bottom