Recent content by Joa1992

  1. Joa1992

    Hakuna tofauti kati ya biashara na ajira

    Haaaaa haaaaa bro uko njema ngoja nkudm kwanza tuongee nimekufuatilia sana kweny nondo zako uko vzuri
  2. Joa1992

    Battle ya waliyosoma na wasiyosoma

    Cha kuelewa ni kwamba siku zote wazazi wanaponisomesha wanaamini moja kwa moja kuwa nikihitimu naingia kibaruani lakini huwa kinyume chake ....wamekusomeshea hela zote umemalizia shulen unahitimu huna hata mia na hujui nani wa kumuomba mtaji ndo hapo linakuja suala la kubadilisha elimu yako...
Back
Top Bottom