Recent content by jnrs

  1. jnrs

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Tanzania apige marufuku maagizo ya CHADEMA ya kulia na kuzimia mahakama kutafuta huruma

    Huo ni mtazomo wa walisya.
  2. jnrs

    JamiiForums Tanzania Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze

    Kaundime hana issue
  3. jnrs

    JamiiForums Tanzania Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

    Unasema ana makasiriko na roho ya kwa nini sio?
  4. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Pdf haifunguki
  5. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ni wadudu

    Huyo ulienae sio mdudu[emoji1787][emoji1787]
  6. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

    Ukiondoa degree ambayo hata cheti cha darasa la Saba kinanafuu anabakia na INTELLECT ambayo ni sifuri[Hana creativity,resilience and determination] Hawezi hata kujinunulia taulo ya kike halafu anamdharau bwana yake boda boda? Eliza Hana sifa za kuwa hata mke wa m..... Hakuna hali inayodumu ktk...
  7. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa naachana na watu kisa kukoroma siwezi kabisa

    Mie niliachwa kisa kukoroma. Niliambiwa nakoroma Hadi nyumba ya tatu wanasikia. Alinipenda Tu wakati usio wa kulala.[emoji134][emoji134]
  8. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Ikifika pale pa 'YEYOTE ILI MRADI ANAPUMUA' Mniamshe![emoji1787][emoji1787]
  9. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume, nina miaka 30

    [emoji1787][emoji1787]
  10. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na Sura ya Baba ukaganda wakati ulikuwa unapita tu?

    Nyie ni Lulu na ninawaenzi Sana. [emoji108][emoji108]
  11. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemsaidia Mwanamke asijitoe Uhai sababu ya Magumu ya Ndoa anayopitia

    Jinsi unavyoandika inanyesha wewe NI Demu[emoji1787][emoji1787]
  12. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu wanaume

    Uu mwanamke mwerevu na kweli nimependa Akili yako.[emoji108]
  13. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabalaa yaniandama tu Jamani!

    Mwanamke akiniomba hela nam block period!
  14. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

    Ukija kwangu ujage na mwili wako Tu na uache kwenu akili zako , ukifika huku utatumia akili zangu.[emoji1787][emoji1787]
  15. jnrs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

    Issue ni vigezo na masharti. Wanaoolewa ni Wale wanaotarajiwa kumpata mwenzi yeyote ili Mradi anapumua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom