Recent content by jmoss

  1. J

    JamiiForums Tanzania Vifaranga na Kuku wakubwa wa Kienyeji

    Thanx moi karubu sana!!!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Vifaranga na Kuku wakubwa wa Kienyeji

    Thanx moi ur welcum!!!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Vifaranga na Kuku wakubwa wa Kienyeji

    Justice Farm Products inawatangazia kuwauzia Vifaranga na Kuku wakubwa wa Kienyeji kama wanavyoonekana katika picha hizo. Bei za bidhaa zetu ni kama ifuatavyo:- Kuku Kienyeji Wakubwa - 25,000.00 hadi 30,000.00 Vifaranga vya wiki mbili - 3000.00 Vifaranga vya mwezi - 5000.00 Mayai ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Vifaranga na Mayai ya Kwale (Quails) yanauzwa

    Mayai ya kwale yanatumika kama dawa au tiba kwa ajili ya kuongeza kinga za mwili (CD4).. Kiukweli ni madogo lakini nutrients zilizomo ndani yake ni mara tano zaidi ya yai la kuku wa kawaida wa mayai... Sifa za msingi za mayai ya kwale ni kama zifuatazo:- 1. Yanakiwango cha juu cha virutubisho...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Vifaranga na Mayai ya Kwale (Quails) yanauzwa

    Cougar Farm Product Ltd inawatangazia bidhaa zifuatazo zinapatikana:- 1. Mayai ya Kwale kwa tray - ni Tshs 25,000.00 2. Vifaranga vya kwale (Vya wiki mbili) - 5000 @ kila 1 3. Kwale wakubwa (Wanaotaga) - Tshs 30,000.00 @ kila 1 Tunapatikana Makongo Juu kwa namba za simu zifuatazo ...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Vifaranga na Mayai ya Kwale 'Quails' Yanauzwa

    Habari wadau mimi nauza mayai ya kwale bei yake ni elfu 25,000/= kwa tray. Aidha nauza vifaranga vya kwale vya kuanzia wiki mbili bei kwa kila mmoja ni 4000.. Kama unahitaji huduma hiyo unaweza kunipata kwa namba 0715 750 504/0754 750 504 au 0717 283 166. Maelezo ya namna ya kufuga...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kuku wa Broiler

    Habari wanandugu,, Napenda kuwataarifu kuwa nauza kuku wa Broiler kuanzia wiki hii.. Bei yake ni kati 5300 - 6000. Unaweza kunipata kupitia namba hii ifuatayo 0754750504 au 0715750504.. Kuku ni wakubwa na wamefikia stage ya kuuzwa...
Back
Top Bottom