Acha usenge, tuambie hata mtu mmoja aliyehusika kutengeneza huo mfumo!?,mnakuwa machawa hadi mnakera.. huo mfumo kaanzisha Magu,.. Kikwete hana IQ ya kuanzisha kitu cha kubana mapato ya serikali. Kama unabisha utakuwa una upeo mdogo sana wa kufikiri
Hujui lolote kaa kimya, nawafahamu hadi ma programmer wa Magu waliotengeneza huo mfumo na kuwang'oa SELCOM. Unayoyajua yote ni uongo ulioaminishwa. Tungekuwa tunajuana ningekuonyesha ushahidi, ukiendelea kunibishia nitakutukana.
UCHAWA tu Kila sehemu, wakati JPM anaingia madarakani kila kitu kilikuwa SELCOM kuanzia ticket za mwendokasi na sehemu kibao za kiserikali hadi madogo wa SELCOM wakawa mabilionea, Magu akaona serikali inavyopoteza ela nyingi akaja na mfumo wa electronic government payment, mdogo wangu ni...
98% ya wanadamu duniani wanaishi na mijusi majumbani bila tatizo lolote. Kazi yao kubwa ni kuua insects 🐝🦋 ndani. Hawa ni mijusi weupe, namna ya kuwaepuka hawa ni kutowafikiria kabisa na kuwachukulia kama wasaidizi ndani hutapata tabu. Kujaribu kupingana nao kuna madhara zaidi ya kuishi nao.
Google ya nini Sasa?,ukizoea kuuliza uliza mwishowe unakuwa mjinga unakuwa hushughulishi ubongo, mtu badala ya kukimbilia google anakimbilia jamii forums
Kwahiyo pkpk 15 zenye thamani ya 2.3mil x 15 = 34.5 milioni. Kwahiyo milioni 34.5 inaleta faida ya 3300 x 15 = 49,500 Kwa siku!??, Na bado Kuna watu hapa wanaona ni biashara nzuri pamoja na risk zilizozunguka biashara hii.. Ukiwa na pikipiki 15 zinazoleta 49,500 Kwa siku. Pkpk moja ikaibiwa au...
Labda uzae wakwako ukae nae masaa 24 hadi afikishe umri wa kuolewa ndo umuoe na bikra, napo usishangae house boy alishafanya yake. Siku hizi hadi uarabuni bikra zimekuwa adimu. Swali la nyongeza, dada zako wameolewa na bikra?,au waliowaoa warudishiwe mahari!???
Cha ajabu wanaoumia na kampeni ya KATAA NDOA ni walio kwenye ndoa, Sasa utajiuliza kama ndoa ni tamu wanateseka na nini?,Kila mtu aishi atakavyo. Wasiotaka ndoa waeleweke pia.
Unasema aliwatesa akiwa hai, sasa mbona kama mnateseka zaidi akiwa ameshakufa!??, sielewi inakuwaje mwanaume unaanzisha uzi mrefu unaohusu mtu ambaye ameshakufa?,au kuna vitu vya siri aliwafanya nini?.,
Badala ya kupambana kujikomboa wewe na ukoo wako ulio kwenye dimbwi la umaskini, unahangaika na mtu ambaye ameshafariki. Sijui mkikaa mnamtajataja JPM ndio shida zenu zitaisha!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.