Bila shaka yaliyomo katika waraka huu mkuu wa malaika akiyapuuza naamini utakuwa in mpango wa Mwenyezi Mungu kuiondoa ccm katika utawala. Kwa hiyo basi viongozi wa vyama vya upinzani endeleeni kuvumilia madhila mnayoyapata kutoka kwa malaika mkuu, wanainchi endeleini kuvumia madhila mnayoyapata...
Kwa mujibu Wa professor Fusuro siasa in kazi inayofanywa katika jamii na taasisi iliyopewa mamlaka ya kusimamia rasilimali cha ambazo hazigawanywi kwa usawa. Taasisi inayozungumzwa hapa ni vyama vya siasa. Inapotokea chama kilichopewa ridha ya kuisimamia rasilimali hiyo cha ikafanya ndivyo sivyo...
Uwepo wa vyama vya siasa in kwa mujibu wa katiba ya Tanzania kutokana na kukubaliana kama taifa tuwe na vyama vingi vya siasa ili kupanua demokrasia. Kwa mujibu wa katika vyama vimerusiwa kufanya kazi ya siasa wakati wowote wanapohitaji kuwasiliana na wanachi na kuingiza wanachama wapya kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.