Ndio mjue umoja wa vyama ni nini. Mkigusa chama kimoja tu yeyote kati ya vyama vilivyoungana anaweza kujibu hoja. Na nyie ccm unganeni na act ili act ije iwasemee
R.I.P Prof. Kuondoka kwako hakutupunguzii ushindi wetu, angeondoka Seif ambae ana wanachama wengi wa Cuf tungeuzunika. Ila wewe umepunguza wingu la giza. Cha msingi uwe mwanachama mwaminifu wa Cuf na sio mwanachama tu.
Chezea mwalimu wewe anabikiri tu maana wanafunzi wengi wanavunja ungo wakiwa mkononi mwake unategemea aje achukue makapi. Teachers are very smart on what they are doing. You can undermine them but ni wa kwanza kula kizuri chochote kabla ya mtu mwingine yeyote. They are silence killers
Hata kama hawafanyi kazi kwa upepo, kwa nini wasiutangazie uma juu ya matengenezo wafanyayo? Hii ni dharau kubwa kwa watanzania na aibu kubwa kwa serekali ya chama cha mapinduzi. Inakera sana nchi imetawaliwa na wimbi la umaskini bado mnakata umeme kila siku mnategemea wanaofanya biashara...
Ni kweli mkuu magamba wamewatesa watanzania vya kutosha na kujinufaisha wao na familia zao wakasahau waliowaweka madarakani. Ubarikiwe Lowasa kwa safari ya msiba wa magamba na Uzima wa Ukawa kwa tumaini jipya lenye kufanya maamuzi magumu kwa uhuru wa watanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.