Recent content by jjokocha

  1. J

    Pata generator kwa bei poa

    Vipi mko na Generator yenye hizi capacity 400 W / 230V bei ni shiling ngapi
  2. J

    Pata generator kwa bei poa

    Vipi mko na Generator yenye hizi capacity 400 W / 230V bei ni shiling ngapi
  3. J

    Laptop nzuri za biashara

    Mkuu Shukrani sana nimenunu tayari tatu Zile lapto ulionielekeza nipo kwanza napata raha nazo mbili ni x220 na moja ni x230 vidogo lakini vina speed sana kwani nilinunua kwa kujaribu kuna kitu nafanya research kwanza Shukrani sana.Ila kuna kitu kimoja wakati nanunua kulikuwa na maelekezo...
  4. J

    Laptop nzuri za biashara

    niemeona nyingine nayo hio vipi?mkuu Lenovo ThinkPad L520 Intel Core i3 2350M 2300MHz 4096MB 500GB 15,6" DVD-RW WLAN Ja Win 7 Professiona
  5. J

    Laptop nzuri za biashara

    Sasa mkuu kati ya hizo mbili yaani T420 na x220 ipi ni bora zaidi
  6. J

    Laptop nzuri za biashara

    Shukrani sana
  7. J

    Laptop nzuri za biashara

    mkuu naomba nr yako ya simu e mail yangu ni (mmanyambo@yahoo.com) ili niweze kupata msaada wa maelekezo tz
  8. J

    Laptop nzuri za biashara

    Dell Latitude E6420 Intel Core i5 2520m 2500MHz 4096MB 250GB 14" DVD WLAN Ja Win 7 Professional UK A
  9. J

    Laptop nzuri za biashara

    hii nayo vip? Dell Latitude E6410 Intel Core i5 M540 2533MHz 4096MB 160GB 14,1" DVD-RW WLAN Ja Win 7 Professional
  10. J

    Laptop nzuri za biashara

    Lenovo ThinkPad T420 Intel Core i5 2520m 2500MHz 4096MB 320GB 14" DVD-RW WLAN Ja Win 7 Professional
  11. J

    Laptop nzuri za biashara

    Lenovo ThinkPad X200 Intel Core 2 Duo P8400 2260Mhz 2048MB 160GB 12,1" WLAN Ja Win Vista Business CO
  12. J

    Laptop nzuri za biashara

    mkuu hii vipi nayo infaa na inasimama ngapi kwa bongo Lenovo ThinkPad X220 Intel Core i5 2520m 2500MHz 4096MB 320GB 12,5" WLAN Ja Win 7 Professional
  13. J

    Laptop nzuri za biashara

    Sawa mkuu nimejaribu kugoogle nimeona tofauti ni ndogo sana kwenye Germay keyboard z na y tuu vingine yote ni sawa wacha niangalie shukrani kwa kunielimisha
  14. J

    Laptop nzuri za biashara

    Mkuu Shukrani lakini sana nafikiri nimekufamu sana . Jee ikiwa mimi nina njia ya kupata laptop zenye keyboard kama hizo na kuzileta Tanzania je itakuwa na usumbufu kwenye mauzo kwa watumiaji kwani tatizo ni keyboard tuu naomba msaada kwa wenye uzoefu hilo ndio swali langu
Back
Top Bottom