Pata generator kwa bei poa

Pata generator kwa bei poa

Karibuni wana Jf kwa mahitaji ya generator.
 
Karibuni wadau kwa mahitaji ya generator.
 
Water pump ya 2 hp inaweza kuendeshwa na generator ya kva ngapi? Na unauza bei gani?
 
Mkuu Bizney naweza kupata rvr ya kts-5
 
Last edited by a moderator:
Wadau mzigo tunao wa kutosha, hasa wale wanaohtaji mashine za kuoshea magari.
 
Karibuni wadau kwa mahitaji ya generator.
 
Vipi mko na Generator yenye hizi capacity
400 W / 230V bei ni shiling ngapi
 
wadau magenereta bado tunayo bora na imara.
 
wadau magenereta bado tunayo bora na imara.
Jibu specific maswali Mkuu, ukijibu tu hivi kiujumla ujumla wakati kuna maswali hayajajibiwa inaonyesha hauko serious
 
mkuu...mimi shida yangu ni pump....ya kuvutia maji...shida yangu ni iwe na uwezo wa kusukuma maji kutoka kwenye chanzo kwenda umbali wa zaidi ya vijiji sita hadi saba...ambavyo vipo kwenye miinuko...nitafurahi kama utaniwezesha kupata bei mapema iwezekanavyo ili nikutafute tuje tufanye biashara.
 
Nimekupata Ndg, kwetu hatuna ila kuna mchina nitakuunganisha nae kazi yake ni kuagiza vitu kulingana na mahitaji ya watu. Mfano kuna aina nyingi ya mashine ambazo huwezi kuzikuta madukani, kama vile mashine za kusindika. Hivyo wewe una order mashine kulingana na hitaji lako.
 
Back
Top Bottom