Recent content by Jjmwaipopo

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukipambanisha CV"s za Mtaalam Pablo ( Spain ) na Tapeli Nabi ( Tunisia ) kwa Aibu Yanga SC wanaweza wakaamua Kumfurumusha Asubuhi tu Jangwani

    Weka mafanikio yake sio blabla huyo Nabi alikushindilia hapa majuzi
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali, TFF, Bodi ya Ligi na TAKUKURU; Kwa uhuni huu wa GSM ile "Fair Competition" inayotakiwa na FIFA ipo wapi?

    Hawa mbumbumbu/Mikia/Bodaboda mbona vichwa vyao vimejaa maji Rage kuwaita mbumbumbu ni haki kabisa hivi mtu kama una akili timamu unaweza kuposti utumbo huu wale Makirikiri walihingwa na nani kubali tu kwamba timu yenu imejaa wahanga hivi wewe unataka wakuachie tu ufunge wasikukabe umebebwa...
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji wapya wa simba, ni nani anamzidi kiwango Francis kahata alieachwa na simba?

    Yule Mo mjanja sana hajaweka ile b20 bado ipo kwenye acc yako ndio uzuri wa kuwaongoza mbumbumbu maana hawajui chochote mwulizeni yule kihirizi cha simba Magori ambaye amekaa pale simba zaidi ya miaka ishirini wenzake wanakuja na kutoka yeye yupo tu
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

    Hivi hawa Mbumbumbu/Bodaboda/Mikia wana akili sawasawa kweli wana uhakika gani kwamba GSM alitoa fedha kuwapa Biashara ili wawavunje miguu simba huu ni upuuzi wa kutotumia akili Makonda alipotoa m20 mbona Wananchi hawakulalamika Kipigo cha Mayele bado kinawasumbua sana wao wanataka wachezaji wa...
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haji Manara nawapeleka Simba mahakamani kwa kunifanysha kazi bila mkataba

    Hawa Mikia:Bodaboda/Mbumbumbu hawawezi kuelelwa kitu hata ukiwaambis timu ni ya kifamilia Mo/Mke/Azim/Barbara watakubishia wanasema mradi wanachukua Makombe siku wakikosa makombe ndipo akili zitafunguka na kuacha matusi
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wa klabu ya Simba wamuomba Rais kumpeleka CAG kukagua klabu hiyo

    Wasikilizeni wazee sio kukimbilia kuwa wanatumiwa na upande wa pili hivi ni kwanini kila tatizo linapotokea simba mnakimbilia upande wa pili kwani Kilomoni alikuwa anatumiwa na Yanga wasikilizeni wazee Kilomoni aliwatahadharisha kuhusu ujanja wa Mo kuhusu b20 mkampuuza sasa unaambiwa hela hiyo...
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba aibu tupu, refa atoa red card kwa kuamriwa na mchezaji Mugalu

    Mbumbumbu ni mbumbumbu kweli mpira uchezwe Dodoma lakini kila shabiki wa mikia/Bodaboda lazima amtaje GSM kwani yeye anahusika vipi mchezi mbovu mnaocheza naona mna allege na Gsm halafu hatujaona kombe ulilolileta kazi kujisifia tu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Machinga: Rais Samia amesema tupangwe vizuri hajasema tuhamishwe kama inavyotafsiriwa na watendaji!

    Hivi wamachinga utawapangaje watu wamevamia hata njia za waenda kwa miguu na wanasababisha ajali hakuna mahali pa kupita mmachinga gani anakuwa na mali ya mamilioni huku ni kukwepa kodi watafutiwe eneo lao lakini sio kwa mtindo huu
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Mo kajiuzulu amepata wapi Mamlaka ya kuteua?

    Hili litimu linatia aibu tulisema hii timu ni ya familia mtu anajiuzulu anamteua mtu wa kumrithi kweli Rage hakukosea aliposema simba ni mbumbumbu hawaelewi kitu wanaona ni sawa halafu asema b20 ameweka akaunti gani
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Biashara 0 Simba 0

    Wameulize Magori kihirizi cha simba wenzake wote wameondoka huyu bwana toka enzi za Bamchawi toka akiwa Nssf anafanya nini simba
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeota Emmanuel Okwi anatua Simba dirisha dogo

    Mtindo wenu wa kusajili wazee bado unaendele Okwi miaka 40 atakuja kuwalia fedha bure si unaona akina Kapome Nyoni Wawa Mkude nyonga zinagoma wewe unafikiri wakiwa vijana wangefukuzana na Toto shida ni timu kuwa ya mtu mmoja halafu huyu Magori anataka nini simba au ndio kihirizi cha simba...
  12. J

    JamiiForums Tanzania KKKT Mashariki na Pwani lawamani kwa kuhamisha hovyo Wachungaji

    Wewe akili yako haiko sawa ya nini matusi mazito kwa wapakwa mafuta mambo ya ofisi na uhamisho wa wachungaji inakuhusu nini ubongo ukilegea na malezi mabovu yamekulemaza hivi kwa akili ya kawaida ukiambiwa thibitisha unayoyasema una ubavu huo mtu unatukana utafikiri hukulelewa sawasawa sasa hebu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

    Umeeleza vizuri sana huyu ana laana sasa atuambie amesaidiwa nini kwa kumbilia kwenye mitandao KKKT lina utaratibu mzuri wa utunzaji fedha na zinakaguliwa na wakaguzi mbali na kusomewa kwa washarika mapato na matumizi kila robo ya mwaka na washarika hujadili hiyo ripoti kwa uwazi unaitwa mkutano...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

    Sasa hayo ni matusi kwa baba Askofu Shoo hivi inaingia akilini kuwa alikuwa anamchangia Mbowe mbona tunakosa adabu kwa viongozi wetu dini kama umetumwa kawaambie nimewakosa
  15. J

    JamiiForums Tanzania Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

    Rc ni wasiri sana hawapayuki kama hawa walioleta habari hii Rc kuna michango mingi hasa kuanzia jumuiya mara watoe 500000 lakini wenzetu wamefundishwa kutii mamlaka iliyo juu kama hutoki kutoa si unyamaze sasa kwa kuandika humu umepata faida gani au tatizo lako limetatuliwa Hivi Askofu ndiye...
Back
Top Bottom