Hata mtu akuchukie vp,alichukie kabila lako atamke awezalo,hawez kuziba riziki yako...kumbuka mamndiko ya Mungu yanasema kabla sijakuumba nalikujua...so wa marangu riziki iko pale pale hata iweje...Kwan wanaokufa ni waliooa wamachame na wa marangu..???ni wanawake wangap wa kichagaa wanaolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.