Recent content by jjim

  1. J

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Jamani mafanikio ya Mpira hayahitaji kuunda kamati za ushindi ndani ya mwezi moja utegemee kuitoa Algeria hizo ni siasa, ndiyo maana wenye akili zao walijitoa kwenye hiyo kamati tunahitaji kuandaa watoto wadogo kwa mategemeo makubwa mbeleni siyo zima moto hii yetu
  2. J

    Story: Nilivyomtapeli tapeli wa Kisenegal mwaka 2009

    Tushazoea hizo ni wezi Wa Africa Magharibi achana nazo
  3. J

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda wanakera kwenye vifurushi 60 MB ukijiunga ukiperuzi kidogo unatumiwa SMS kuwa kifurushi kimeisha halafu wako slow sana kwanini msifanye kama airtel????
Back
Top Bottom